Msaada wa internet bure

Msaada wa internet bure

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,652
Reaction score
5,624
Guys salama jamani,mie n mtumiaji mzuri sana wa internet,na huwaga nikijiungaga na vifurushi natumiaga sana net kuliko muda wa maongezi,je ni mtandao gan ambao naweza kutumia net bila kulipia
 
Kwa dunia ya sasa? Hakuna kitu cha bure...!!
 
Guys salama jamani,mie n mtumiaji mzuri sana wa internet,na huwaga nikijiungaga na vifurushi natumiaga sana net kuliko muda wa maongezi,je ni mtandao gan ambao naweza kutumia net bila kulipia

Dah mkuu unataka cha bure mbona unachekesha
 
Bora hata ungesema bei rahisi lakini sio bure, we ni mtanzania wa wapi mpaka sasa hivi unawaza vitu vya bure!?
 
Guys salama jamani,mie n mtumiaji mzuri sana wa internet,na huwaga nikijiungaga na vifurushi natumiaga sana net kuliko muda wa maongezi,je ni mtandao gan ambao naweza kutumia net bila kulipia

Mkuu mbona unataka vitu kiulaina! Wewe ni "ke" au "me" ?
 
kwa msaada wa bure... angalia promoshen za mitandao kama airtel ni bure internet kuanzia saa 6 usiku..

pia katika tigo ingekua poa ukajichanga sh mia tano tu ujiunge na megabox data utapata mb 200

kwa voda.. usiku kuna wajanja night, kama we ni m2 wa kudownload mafaili kama mimi bas hii utafaid maana kwa sh 500 tu utapatiwa GB 1 ila tu kuanzia saa 5 usiku

kwa mfano mimi nina laini za mitandao yote TZ, ikitokea promoshen hapo hapo naenda nao sawa

... zaid ya hapo hakuna bure ndugu...

i hope nimekusaidia kidogo kwa ushauri
 
Back
Top Bottom