Msaada wa intergration ya payment gateway ya pesapal katika hii project

Msaada wa intergration ya payment gateway ya pesapal katika hii project

Msukule Msafi

Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
55
Reaction score
48
habari wakuu,

Naomba msaada kwa anayejua namna ya kufanya intergration ya payment gateways za hawa pesapal katika hii project iliyokua developed kwa laravel nawasilisha kwa mwenye kujua msaada wako katika hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni pesapal ndio wanafanya integration, unachohitaji kufanya ni kuwasiliana nao mkikubaliana business terms, unawapa backend details wanafanya kazi yako

Masaihost.com
Web designing and Web hosting solutions
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom