mchumia tumbo JF-Expert Member Joined Jun 19, 2012 Posts 1,459 Reaction score 476 Aug 29, 2022 #1 Tafadhali naomba msaada kwa mwenye uelewa,wapi naweza kupata huduma ya Alipay hapa Tanzania
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,597 Reaction score 22,338 Aug 29, 2022 #2 mchumia tumbo said: wapi naweza kupata huduma ya Alipay hapa Tanzania Click to expand... Liweke vyema swala lako ili ueleweke, nini hasa unahitaji.
mchumia tumbo said: wapi naweza kupata huduma ya Alipay hapa Tanzania Click to expand... Liweke vyema swala lako ili ueleweke, nini hasa unahitaji.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 49,731 Reaction score 130,649 Aug 29, 2022 #3 mchumia tumbo said: Tafadhali naomba msaada kwa mwenye uelewa,wapi naweza kupata huduma ya Alipay hapa Tanzania Click to expand... Uliza Equity Bank
mchumia tumbo said: Tafadhali naomba msaada kwa mwenye uelewa,wapi naweza kupata huduma ya Alipay hapa Tanzania Click to expand... Uliza Equity Bank
mchumia tumbo JF-Expert Member Joined Jun 19, 2012 Posts 1,459 Reaction score 476 Aug 29, 2022 Thread starter #4 Mwl.RCT said: Liweke vyema swala lako ili ueleweke, nini hasa unahitaji. Click to expand... Nlikuwa nataka kununua bidhaa China ila supplier anataka kulipwa kwa Alipay
Mwl.RCT said: Liweke vyema swala lako ili ueleweke, nini hasa unahitaji. Click to expand... Nlikuwa nataka kununua bidhaa China ila supplier anataka kulipwa kwa Alipay
mchumia tumbo JF-Expert Member Joined Jun 19, 2012 Posts 1,459 Reaction score 476 Aug 29, 2022 Thread starter #5 antimatter said: Uliza Equity Bank Click to expand... Asante,ntafanya hivyo
Dannis JF-Expert Member Joined Jan 21, 2016 Posts 1,603 Reaction score 1,749 Aug 29, 2022 #6 Alipay ni mfumo wa malipo kama ilivyo Wechat payment au Paypal, ili kujiunga na au kuwa na account ya alipay inabidi utumie hati yako ya kusafirisha. Huwezi kuwa account ya Alipay bila kuwa na Passport Alipay ni mfumo wa malipo kutoka China
Alipay ni mfumo wa malipo kama ilivyo Wechat payment au Paypal, ili kujiunga na au kuwa na account ya alipay inabidi utumie hati yako ya kusafirisha. Huwezi kuwa account ya Alipay bila kuwa na Passport Alipay ni mfumo wa malipo kutoka China
mchumia tumbo JF-Expert Member Joined Jun 19, 2012 Posts 1,459 Reaction score 476 Aug 30, 2022 Thread starter #7 Dannis said: Alipay ni mfumo wa malipo kama ilivyo Wechat payment au Paypal, ili kujiunga na au kuwa na account ya alipay inabidi utumie hati yako ya kusafirisha. Huwezi kuwa account ya Alipay bila kuwa na Passport Alipay ni mfumo wa malipo kutoka China Click to expand... Asante sana Mkuu
Dannis said: Alipay ni mfumo wa malipo kama ilivyo Wechat payment au Paypal, ili kujiunga na au kuwa na account ya alipay inabidi utumie hati yako ya kusafirisha. Huwezi kuwa account ya Alipay bila kuwa na Passport Alipay ni mfumo wa malipo kutoka China Click to expand... Asante sana Mkuu
Dannis JF-Expert Member Joined Jan 21, 2016 Posts 1,603 Reaction score 1,749 Aug 30, 2022 #8 mchumia tumbo said: Asante sana Mkuu Click to expand... Unataka kununua kupitia platform ipi?
mchumia tumbo JF-Expert Member Joined Jun 19, 2012 Posts 1,459 Reaction score 476 Aug 31, 2022 Thread starter #9 Dannis said: Unataka kununua kupitia platform ipi? Click to expand... Alipay mkuu
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,597 Reaction score 22,338 Aug 31, 2022 #10 mchumia tumbo said: Nlikuwa nataka kununua bidhaa China ila supplier anataka kulipwa kwa Alipay Click to expand... Je ni website ipi uliingia na kutafuta bidhaa ndio ukakutaqna na huyo muuzaji ?
mchumia tumbo said: Nlikuwa nataka kununua bidhaa China ila supplier anataka kulipwa kwa Alipay Click to expand... Je ni website ipi uliingia na kutafuta bidhaa ndio ukakutaqna na huyo muuzaji ?
Dannis JF-Expert Member Joined Jan 21, 2016 Posts 1,603 Reaction score 1,749 Aug 31, 2022 #11 mchumia tumbo said: Alipay mkuu Click to expand... I mean uliingia website gani kununua hiyo bidhaa?
Andres JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 505 Reaction score 828 Aug 31, 2022 #12 Njoo nikusaidie ninaitumia
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,461 Reaction score 185,072 Aug 31, 2022 #13 Ngoja waje kukupa muongozo...
mchumia tumbo JF-Expert Member Joined Jun 19, 2012 Posts 1,459 Reaction score 476 Aug 31, 2022 Thread starter #14 Dannis said: I mean uliingia website gani kununua hiyo bidhaa? Click to expand... Supplier nlimpata kwa njia nyingine ila anataka kulipwa kwa Alipay
Dannis said: I mean uliingia website gani kununua hiyo bidhaa? Click to expand... Supplier nlimpata kwa njia nyingine ila anataka kulipwa kwa Alipay
Dannis JF-Expert Member Joined Jan 21, 2016 Posts 1,603 Reaction score 1,749 Aug 31, 2022 #15 mchumia tumbo said: Supplier nlimpata kwa njia nyingine ila anataka kulipwa kwa Alipay Click to expand... Sawa mkuu
mchumia tumbo said: Supplier nlimpata kwa njia nyingine ila anataka kulipwa kwa Alipay Click to expand... Sawa mkuu
D Du2bling New Member Joined Jul 14, 2013 Posts 2 Reaction score 0 Jan 1, 2023 #16 Mlifanikiwa, kama bado mm pia natumia na nafanya malipo kwa suppliers
Simeone JF-Expert Member Joined Jul 4, 2018 Posts 1,119 Reaction score 1,254 Jan 31, 2024 #17 Mkuu ulifanikiwa kutumia alipay?
buyoya419 JF-Expert Member Joined Oct 20, 2017 Posts 630 Reaction score 511 Feb 1, 2024 #18 Ikiwa unataka kulipa kwa alipay nitafute Muombe qr code ya kulipia then nitakupa thamani ya uuan 1 kwa sasa then nikulipie
Ikiwa unataka kulipa kwa alipay nitafute Muombe qr code ya kulipia then nitakupa thamani ya uuan 1 kwa sasa then nikulipie
F farajaabas New Member Joined Mar 7, 2024 Posts 1 Reaction score 0 Mar 7, 2024 #19 buyoya419 said: Ikiwa unataka kulipa kwa alipay nitafute Muombe qr code ya kulipia then nitakupa thamani ya uuan 1 kwa sasa then nikulipie Click to expand... Naomba msaada wako Namba 0758576276
buyoya419 said: Ikiwa unataka kulipa kwa alipay nitafute Muombe qr code ya kulipia then nitakupa thamani ya uuan 1 kwa sasa then nikulipie Click to expand... Naomba msaada wako Namba 0758576276
Q quantumQ Senior Member Joined Dec 11, 2013 Posts 111 Reaction score 84 Mar 8, 2024 #20 Nafanya malipo kwa Suppliers wa China kwa Rate rafiki Kwa mahitahi ya RMB (Yuan) utapata hapa WhatsApp +8617822187403
Nafanya malipo kwa Suppliers wa China kwa Rate rafiki Kwa mahitahi ya RMB (Yuan) utapata hapa WhatsApp +8617822187403