Mkuu sina tatizo na hilo, shida ni hizo domain names za Tanzania (.ac.tz, .co.tz na .or.tz) namna ya kuzi -transfer huko ndio shida.Nunua hosting huko kwa BlueHost/Gator/Etc kisha nunua domain tu kwa registrar wa bongo, sio lazima vyote upate sehemu moja na mara nyingi sio vizuri kununua sehemu moja.
Ningekushauri utumie moja wa acredited registrars na sio middleman tzNIC | Tanzania Network Information Centre - List of registrars
Wakuu naombeni msaada, nahitaji Webhosting Provider (Bluehost, DreamHost, HostGator etc), anayetoa huduma ya ku host hizi websites zetu za kitanzania pasipo usumbufu.
Yaani Hosting Provider wa .ac.tz, .co.tz, .or.tz n.k
Asanteni.
Mkuu, hao ni Resellers au Providers? Nahitaji Providers ChiefWasiliana na hawa Web Hosting and Domain Registration in Tanzania nadhani nitakuwa nimekusaidia.
Mkuu, hao ni Resellers au Providers? Nahitaji Providers Chief
Hosting provider hahusiki kabisa na domain na wala hajali ni aina gani, hiyo domain yako utaielekeza katika nameserver za hosting provider so provider yoyote yule atafanya kazi na domain uliyonunua bongo.Mkuu sina tatizo na hilo, shida ni hizo domain names za Tanzania (.ac.tz, .co.tz na .or.tz) namna ya kuzi -transfer huko ndio shida.
Ni Hosting provider yupi ambaye hasumbui kuzi -host websites za namna hiyo?
Mkuu, umeshawahi ku-host websites zenye domain hizo (.ac.tz, .co.tz, .or.tz) Bluehost na kwingineko? Hukupata changamoto yeyote?Hosting provider hahusiki kabisa na domain na wala hajali ni aina gani, hiyo domain yako utaielekeza katika nameserver za hosting provider so provider yoyote yule atafanya kazi na domain uliyonunua bongo.
Mkuu, umeshawahi ku-host websites zenye domain hizo (.ac.tz, .co.tz, .or.tz) Bluehost na kwingineko? Hukupata changamoto yeyote?
Nahitaji hosting provider ambaye hana usumbufu katika ku -host domains za namna hiyo. Bluehost wameshindwa, badala yake uki transfer huko zinakua kama addons tu.
Mkuu ni akaunti huko Bluehost kwa muda mrefu, inakubali ku-host domains za nje tu (.com, .org etc). Hizi za kwetu kila nikinunua sehemu nyingine na kufanya settings zote hizo, ili ku-transfer bado zinakwama.Utakuwa unakosea sehemu haiwezi kuwa na shida. Nielewe tena kuwa hiyo domain hauitransfer kokote unairegister na registrar wa bongo kisha katika settings za nameserver katika huyo registrar wako unaweka nameserver za host wako ambaye anaweza kuwa host yoyote yule.
Labda uende hatua kwa hatua tuelewe ni wapi unakwama.
Nunua hosting huko kwa BlueHost/Gator/Etc kisha nunua domain tu kwa registrar wa bongo, sio lazima vyote upate sehemu moja na mara nyingi sio vizuri kununua sehemu moja.
Ningekushauri utumie moja wa acredited registrars na sio middleman https://www.tznic.or.tz/index.php/en/registrars/accredited-registrars
Unafanya transfer ya kitu gani?Mkuu ni akaunti huko Bluehost kwa muda mrefu, inakubali ku-host domains za nje tu (.com, .org etc). Hizi za kwetu kila nikinunua sehemu nyingine na kufanya settings zote hizo, ili ku-transfer bado zinakwama.
Tatizo lako mbishi hautaki kuelewa. NishakwambiaMkuu, umeshawahi kutumia Bluehost na ku-manage local domains kwa kuzi-transfer huko? Au umeamua kuleta mzaha tu hapa?
Mkuu, mteja anahitaji kuhama kwa Host wake wa awali aje kwangu, kwa hiyo nitaishia kuweka Nameserver za Bluehost tu? Kweli?Tatizo lako mbishi hautaki kuelewa. Nishakwambia
Usifanye transfer!
Domain yako inabaki kwa registrar wa bongo unaweka nameserver za bluehost.
Hauhitaji kuitransfer domain kwa bluehost ili uhost site bluehost hosting na domain ni vitu viwili tofauti.
Hata kwenye hayo maelekezo wamekwambia upoint A name kwao.
Jamaa amekuelewesha vizuri sema wewe ni mbishi!!Mkuu, mteja anahitaji kuhama kwa Host wake wa awali aje kwangu, kwa hiyo nitaishia kuweka Nameserver za Bluehost tu? Kweli?
Na hizo webspace (storage) za 5GB, Bandwith ya 20 GB nilizo muahidi atazipataje sasa? Hahaha
Mkuu, ninyi ndio hamjanielewa. Tayari ninayo facility (Hosting Account) huko Bluehost, tatizo inagoma ku -support hizi local websites (.ac.tz, .co.tz and .or.tz), ndio maana nikauliza Wataalam hapa, ni Hosting Provider yupi ambaye hasumbui katika hili?Jamaa amekuelewesha vizuri sema wewe ni mbishi!!
Ukishakua na doimain name una i point kwenda kwa host ambaye ni bluehost yeye ndiye atakupa facilies zote inluding hizo 20gb.
Domain name itabaki ulipoisajili ila ukisha ipointi kwa bluehost basi wao ndio wat host website yako.