Msaada wa home theatre aina ya LG Watts 1000

Input

Senior Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
108
Reaction score
103
Habarini.
Nina Lg home theatre ya watts 1000. Ilikua nzima kabisa Kwa kila kitu.
Hasa leo nikataka kujaribu kitu ambacho ni kuunganisha redio na pc kutumia waya wa HDMI.

Kwa kweli matokeo yake ni kama ifuatavyo.
•pc haiku display chochote kutoka kwenye Deki.
•nikawa napata harufu kama ya kuungua kitu.

Baada ya hapo nikachomoa huo waya. Na kuamua kuitumia kama kawaida.
Matokeo yake yakawa kama ifuatavyo.
•upande wa redio ukakataa kurespond.
•spika tatu zenye ukaribu na connection ya HDMI hazitoi sauti, ila nikizibadilishia kwenye pin zingine zinatoa sauti.

msaada kwenu wajuzi, hapo shida yaweza kua ni nini? Walau nijue kabla ya kuchukua hatua zingine mana naamini humu nitapata ufumbuzi wa awali Kwa zaidi ya asilimia 90%.
 
Ulizima upande mmoja wakati unachomeka yaani aidha radio au pc au vyote vilikuwa on

Mi nachomeka

1. TV FLAT 55" na laptop kwa hdmi
2. Sony Hometheatet 1k watss na HIMI ili dvd imicheza nione kwrnye Tv
3. Waya wa 1 to 3. SIO HDMI. From TV FLAT to Hometheatet kwa ajili ya Soumf

Unatakiwa upande mmoja uwe umezima hasa .

ILa Radio na PC ulikuwa unataka kupata nini yaani nimi iwr source hapo ndio ulipozingua

Nijuavyo mimi radio inatoa data kwa HDMI na PC inatoa kwa HDMI sasa utaungaje pc na RADIO ?
 
Baada ya hapo nikaiwasha wakati waya umeshachomekwa.
 
Karibuni wadau.
Chief-Mkwawa: et al.
 
the moment unaaza skia hii harufu, kitu(IC) kishaungua, pole sana aisee

Daaah. Sina budi kusema asante.

Na matengenezo yake yanahitaji fundi mwenye utaalam kiasi gani?
Au unashauri nn nifanye kuhakikisha inarudi katika ubora wake wa mwanzo?
 
Unatakiwa upande mmoja uwe umezima hasa .

ILa Radio na PC ulikuwa unataka kupata nini yaani nimi iwr source hapo ndio ulipozingua

Nijuavyo mimi radio inatoa data kwa HDMI na PC inatoa kwa HDMI sasa utaungaje pc na RADIO ?[/QUOTE]

Ilikua katika hatakati za kufanya udadisi kivitendo tu, kumbe looooh, imekula kwangu. [emoji20]
 
Unatakiwa upande mmoja uwe umezima hasa .

ILa Radio na PC ulikuwa unataka kupata nini yaani nimi iwr source hapo ndio ulipozingua

Nijuavyo mimi radio inatoa data kwa HDMI na PC inatoa kwa HDMI sasa utaungaje pc na RADIO ?

Ilikua katika hatakati za kufanya udadisi kivitendo tu, kumbe looooh, imekula kwangu. [emoji20][/QUOTE]Mi nishaunguza waya HDMI. mara 2 kwa kusahau kuzima aidha TV au laptop au RADIO niliponunua waya mwingine ipo fresh
 
Sasa ulivyochomeka hdmi kutoka kwenye home theater kwenda kwenye pc ulitegemea Pc ionyeshe picha kutoka kwenye home theater!! Pole...

Hiko ndicho nilichokua nataka kudadisi.
Unanishaurije baada ya hilo tukio!
Maana spika tatu hazitoi sauti, pia redio nayo ni hivyohivyo.
 
Ulizima upande mmoja wakati unachomeka yaani aidha radio au pc au vyote vilikuwa on

Mi nachomeka

1. TV FLAT 55" na laptop kwa hdmi
2. Sony Hometheatet 1k watss na HIMI ili dvd imicheza nione kwrnye Tv
3. Waya wa 1 to 3. SIO HDMI. From TV FLAT to Hometheatet kwa ajili ya Soumf

Unatakiwa upande mmoja uwe umezima hasa .

ILa Radio na PC ulikuwa unataka kupata nini yaani nimi iwr source hapo ndio ulipozingua

Nijuavyo mimi radio inatoa data kwa HDMI na PC inatoa kwa HDMI sasa utaungaje pc na RADIO ?
Huyu atakua mhaya tu
 
May be alikuwa anataka ku captute contents
Unatakiwa upande mmoja uwe umezima hasa .

ILa Radio na PC ulikuwa unataka kupata nini yaani nimi iwr source hapo ndio ulipozingua

Nijuavyo mimi radio inatoa data kwa HDMI na PC inatoa kwa HDMI sasa utaungaje pc na RADIO ?

Ilikua katika hatakati za kufanya udadisi kivitendo tu, kumbe looooh, imekula kwangu. [emoji20][/QUOTE]
 
Ulizima upande mmoja wakati unachomeka yaani aidha radio au pc au vyote vilikuwa on

Mi nachomeka

1. TV FLAT 55" na laptop kwa hdmi
2. Sony Hometheatet 1k watss na HIMI ili dvd imicheza nione kwrnye Tv
3. Waya wa 1 to 3. SIO HDMI. From TV FLAT to Hometheatet kwa ajili ya Soumf

Unatakiwa upande mmoja uwe umezima hasa .

ILa Radio na PC ulikuwa unataka kupata nini yaani nimi iwr source hapo ndio ulipozingua

Nijuavyo mimi radio inatoa data kwa HDMI na PC inatoa kwa HDMI sasa utaungaje pc na RADIO ?
Jamaa hajui afanyalo, msameheni ila kimsingi kashaunguza system yake ya LG!

Kimsingi kitu ambacho kingekuwa positive ni kutoa signal za sauti toka kwenye pc kupitia 3.5mm earphone jack ambayo angei connect kwenye RCA outputs za deki ya LG.
 
Back
Top Bottom