naomba msaada jinsi ya ku Update browser kama text inavyosema, sijui nianzie wapi, nliuliza google wanasema ni Update google play, ambaye ana utaalam wa hiyo kitu
operamini ina compress webpages na kuzifanya ziwe nyepesi na zinazotumia mb chache, hivyo kuna technology za website opera mini haizikubali hata kama ipo up to date. hapo una option mbili.
1. fungua na browser nyengine ambayo sio opera mini. mfano google chrome.
2. kwenye hio operamini badili iwe haicompress. click kialama cha opera chini kulia halafu utaclick data savings kisha itakuja page kuna option tatu za kuchagua,
-extreme
-high
-off
ikiwa off inamaana opera mini itakuwa hai compress page, mb zitaenda nyingi lakini pia utaweza fungua vitu kama u
hivyo vya email vilivyokataa.