Msaada wa hii ndoto

Msaada wa hii ndoto

NIMEPITIA POST ZAKO HUMU AISEEE! 🙌 NDIO WALE WALE TU
911378C6-B5BF-4A11-9FE0-4CB5398C4FB8.jpg
 
NIMEPITIA POST ZAKO HUMU AISEEE! 🙌 NDIO WALE WALE TU View attachment 3142005
Una uhakika unachongea ndio hizo ni posts zangu niliomba msaada humu nikapata msaada wa watu asilimia 95 nimefanya walivonielekeza namshukuru mungu amenisaidia. Nimekuja hapa sio kuonekana ndivyo sivyo nimekuja kuomba msaada kuhusu hio ndoto sipendi kuota vitu kama hivyo tena wakati nimeshavisahau mambo hayo. Kama huna msaada ni bora ungekaa kimya mkuu ungesoma ungekaa kimya.
NIMEPITIA POST ZAKO HUMU AISEEE! 🙌 NDIO WALE WALE TU View attachment 3142005
 
Back
Top Bottom