Habari za mchama huu wana jamvi......
Naomba msaada juu ya simu ya Itel 1351, nimeiblok kwa kukosea kuingiza paten mara nyingi kimakosa, Hivyo naomba mwenye kujua jinsi ya kufanya Hard reset anisaidie, Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.