Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,533
- 1,936
Marehemu aliacha maandishi bt c wasia ukimtambua mama na watoto wa ndoa2 bt jamaa wapo tu wanafanya fujo.Marehemu aliacha wosia kwani? Pia wapeleke kwenye vyombo vya sheria kabla ya majanga
Mkuu asante bt kuuza sawa ila ryt nw kunamgogoro,hata cjui nifanyeje,yaan mkuu nimechanganyiliwa wakuu m npo dar.Pole kwani mirathi inasemaje? Kama mzee hakuwaandika humo aende mahakamani, kama aliwaandika urithi na wao pia inabidi muite wanasheria iuzwe mgawanywe. Kama hawajaandikwa akimaliza kesi bora aiuze ahame eneo hilo itakuwa ni uhasama kila siku
Mkuu asante hilo zuio naliwekaje? Maana mm npo dar, kumbuka mkuu mama alikuwa mke wa ndoa wa marehemu, je sheria inatambua au kusema nn kuhusu haki ya mama?unaposema watoto wa nje unamaanisha nini labda ni watoto halali ambao baba mme wake aliwazaa hiki kitu kinaweza kuamriwa kisheria tu wala si kibabe nangalia mirathi inasemaje kama mirathi haijafunguliwa inabidi ifunguliwe kila kitu kitawekwa wazi wakati huu mnaweza kwenda kuweka zuio mahakamani mpaka pale mirathi itakapofunguliwa kama bado haijafunguliwa
Kuna kitu kinaitwa cavity wala hakigharimu pesa nyingi mfate mwanasheria yoyote wa serikali atakuelekeza na watakwambia vitu gani unahitaji kuwa navyo haijalishi upo wapiMkuu asante hilo zuio naliwekaje? Maana mm npo dar, kumbuka mkuu mama alikuwa mke wa ndoa wa marehemu, je sheria inatambua au kusema nn kuhusu haki ya mama?
Asante mkuu, so naweza kukipata nkiwa dar.Kuna kitu kinaitwa cavity wala hakigharimu pesa nyingi mfate mwanasheria yoyote wa serikali atakuelekeza na watakwambia vitu gani unahitaji kuwa navyo haijalishi upo wapi
Kuna kitu kinaitwa cavity wala hakigharimu pesa nyingi mfate mwanasheria yoyote wa serikali atakuelekeza na watakwambia vitu gani unahitaji kuwa navyo haijalishi upo wapi
Nadhani unamaanisha "caveat" au zuio la kisheria. Hiyo nyumba kama ina hati. Hiyo hati iwekewe "caveat". Kwa kufanya hivyo biashara hapo itasimama mpaka hilo zuio litakapo pata ufumbuzi.
Lazima uende mahakaman cz hiyo ni Matrimonial Asset.hawana haki kuiza kinyemela lazima wakubaliane pande zote.
Asante mkuu,nahic kuchanganyikiwa maana hyo ndo mama yangu na I want to help her.. As well as soon.Pole sana
As well as soon.
Asante mkuu.. Ndo dunia yenyewe watu wanashindwa kutafuta wanasubr urithi..Pole sana mkuu.
Nashukru, sasa mama anaweza kupauza bila kuingiliwa?Kama wosia hawakuandikwa ndo mirathi hiyo hawana haki. Mahakama huwa inatambua hilo kuna wa mama wanapozaa na mtu kazi kudai matunzo na elimu bila kujali anajenga au vipi. Mwisho wa siku huwa anaandikwa mke aliyeishi nae maana ndie kachangia kujenga. Ila ili apate amani kesi ikiishi uza aondoke hapo.