Msaada wa haraka

Ana yake mambo. Anaishi kwa mwanaume bila ndoa eti atatia aibu kwani wakati mnatiana alitegemea nn zaidi ya mimba. Mruhusu afanye anachotaka atakupasua kichwa bure.
 
Ndugu polle na kutingwa!!
Please kua na msimamo na one final stand!!
Mkalishe mwambie mara moja bila kutorudia tena
Asitoe mimba muende kujitambulisha uoe haraka!!
P.S : kutingwa kwako kuna dhohofisha msimamo wako!! Kulia mwanamke kawaida koz vigumu kujitambua kama ki umri wake ni mdogo pia!
Wewe ndo kichwa cha familia ijacho!! Msimamo wako unaanza sasa!!
Baraka za mtoto ni za ajabuu!! Utakumbuka tu siku moja huu msemo
 
Nashukuru kupitia ushauri wenu,mwisho wa siku kakubali kutotoa hiyo mimba tena moyo wote
 
Nashukuru kupitia ushauri wenu,mwisho wa siku kakubali kutotoa hiyo mimba tena Kwa moyo wote
 

Good Advice
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…