Msaada wa haraka

Topetope

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
277
Reaction score
31
Wana jf naomba msaada nataka kuweka windows main laptops ya Samsung msaada haisapoti dvd room
 
Wana jf naomba msaada nataka kuweka windows main laptops ya Samsung msaada haisapoti dvd room

tumia Bootable USB, search humu kuna maelezo namna ya kutengeneza na kutumia Bootable USB
 
Kaka haiji naomba sana msaada wako kwa hali na mali
 
Mkuu unajua kuna kazi nyingine inabidi tuu kukubali na kupereka kwa wahusika(technicians) ili mambo yaende sawa.Ushauri wa bure tafuta mafundi wakusaidie tena humu wapo wengi ambao wanaweza kukufuata popote ulipo na wakakutatulia shida zako kwa bei nafuu kabisa kuliko kwenda kununua external DVD writer.
 
Kaka nipo teyari kupata msaada ila hii mashine haikubali cd room naitaji flash bootable ya windows
 
Jamani ndugu zangu msaada nnao waomba nimuhimu sana kunamtu kaniambia nitumie windows 7bootable flash kama kunamtu anahaka ka programs anipe nitamlipa
 
google then usome maelezo au kidhungu kinakupigachenga
 
Da sijajua nashindwa kueleweka au mimi mgumu kuelewa kote nimesoma vyema ishu hapa niku download haka ka program nikaweke kwenye flash nifanye kazi
 
mkuu siku moja nililetewa mini laptop ya samsung ilikua np1000 kama kumbukumbu zangu zipo sahihi. hizo huwezi kueka windows kwanza kuna cd yake inakuja nayo sijui na ya bios ile inabidi uieke uziinstall halafu ueke windows. ilinishinda mimi ikabidi tuirudishe dukani wao ndo wakaieka ndo mana na mimi nikakushauri rudisha uliponunua wao wanajua namna ya kuzieka
 
Kaka nimeletewa ikiwa nzima nimetumia ila sasa hawaki inaitaju bootable je aliye niletea katoka nayo Japan naimani najua siwezi kosa msaada please msaada mkubwa naomba
 
Kaka nimeletewa ikiwa nzima nimetumia ila sasa hawaki inaitaju bootable je aliye niletea katoka nayo Japan naimani najua siwezi kosa msaada please msaada mkubwa naomba

kama ushaitumia jaribu kufanya restore ili irudi kama zamani. je ikiwaka haiji ile page ya kustart window normal au safe mode?
 
Hata hiyo kitu aiji kabisa jamani hakuna wakunisaidia
 
if you have time jaribu kutengeneza bootable flash ni simple tu ila inaitaji muda.
 
Hapo kwenye kutengeneza panakuwa pagumu powa nakshukuru sana umenisaidia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…