Msaada wa Haraka

Kichakoro

JF-Expert Member
Sep 10, 2008
3,063
5,393
Jana nilizima laptop yangu ikiwa inafanya kazi vema lakini leo nimeiwasha inawaka lakini haidisplay chochote nimejaribu zaidi ya mara ishirini

Je tatizo linaweza kuwa ni nini????? wataalam nisaidieni kuna report natakiwa niitoe kwenye hii pc nitafanya nini????
 
Unamaanisha nini ukisema haidisplay chochote? Inaonyesha blue screen? Au monitor ipo kama haijawashwa? Tunaomba ufafanuzi mkuu.
 
Nunua extenal hdd case ili upate data zako.

Unaweza kufanya kosadogo ukapoteza kila kitu.
Au waone mafundi wataalam au mpm SHY kama upo dar.
 
Je taa za kuonyesha inapata power zinawaka?

Kama haziwaki inawezekana power supply yako imekufa unaweza kujaribu na power supply nyingine ambayo iko compatible na laptop yako.Ilishwahi kunitokea, nikaifungua laptop na kui break apart, nikairudisha vizuri, come to find out kipower supply kilikuwa kimeungua nikanunua kipya ikafanya kazi kama kawaida.
 
Unamaanisha nini ukisema haidisplay chochote? Inaonyesha blue screen? Au monitor ipo kama haijawashwa? Tunaomba ufafanuzi mkuu.

Yes screen ipo kama haijawashwa ila taa zote zinaonyesha iko on.
 
Nunua extenal hdd case ili upate data zako.

Unaweza kufanya kosadogo ukapoteza kila kitu.
Au waone mafundi wataalam au mpm SHY kama upo dar.



Kwa bahati mbaya sipo Dar na hata kama ningekuwepo dar to be frank simwamini Shy hata kidogo, kwa sababu best known to myself.
 
Screen inaonyesha mwanga kwa mbali sana, au sio? Huenda ina tatizo la motherboard.
Kama warranty yake haijapita muda wake, ipeleke kwa wahusika itazamwe.

Ulikuwa unaizima vipi? (Uki-press start button na kushikilia kwa muda, laptop itazima)
 
Taa ya hard drive inablink? Inatoa zile sauti sauti za harddrive na feni kuzunguka? Kama ndio basi jaribu kuiunganisha na monitor nyingine, nadhani screen yako itakua imekufa.
 
kama kitu ni kibovu ni kibovu tu hata kikiwe kimetoka peponi mbona komputer karibu zote afrika ya hii sasa zinatokea asia haswa uchina na malaysia ? hapo ofc kwako angalia hizo dell , toshiba na hp compaq uone made in wapi
 
Products za China zinauzwa ulimwengu mzima si africa pekee,haina maana kila kitu cha China ni kibovu.
 
Back
Top Bottom