Kuna jirani wangu kaibiwa milioni moja laki saba na kijana wake wa kazi, cha ajabu Polisi Buguruni wanamwambia aende Vodacom na Vodacom nao wanamwambia aende Polisi yupo njia panda hajui afanyaje.
Ana RB, BUG/RB/5131/2019 na kama yupo mtu anayeweza kumsadia amtafute atatoa chochote namba yake ya simu 0742862335 anaishi buguruni Dar es Salaam