Msaada wa haraka

ummtotomlito

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2014
Posts
536
Reaction score
651
Wapendwa Mwanangu kachaguliwa shule ya sekondari ya wasichana Tumaini iliyopo mkoani Singida Iramba lakn cha kushangaza mpaka leo sijapata joining instruction, naombeni kama kuna mtu anasoma huko au anafundisha huko anisaidie jaman.
 
online uliitafuta? ukifanya mzaha itakuja mwakani maana zinachelewa sana zzinatumwa kwa njia ya posta ya kawaida
 
Huwa joining instruction wakati mwingine zinachelewa. Na kwa uelewa wangu masuala ya uniform zitashonwa shuleni, mnunulie mahitaji yake binafsi umpeleke shule, naaminishule nyingi zitafungu kuanzia trh 9/1/2017. Ila yanayohusiana na mahitaji maalumu ya shule atayakuta huko. Joining instruction isikupe presha ili mradi tu ujiridhishe kuwa kachaguliwa shule hiyo.
 
Asanteni wakuu jumapili tutaanza safari kwenda Singida.
 
nafikiri kuingia 4m1 hkunaga [HASHTAG]#joining[/HASHTAG]!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…