Msaada wa haraka

ummtotomlito

JF-Expert Member
Aug 30, 2014
535
642
Wapendwa Mwanangu kachaguliwa shule ya sekondari ya wasichana Tumaini iliyopo mkoani Singida Iramba lakn cha kushangaza mpaka leo sijapata joining instruction, naombeni kama kuna mtu anasoma huko au anafundisha huko anisaidie jaman.
 
Huwa joining instruction wakati mwingine zinachelewa. Na kwa uelewa wangu masuala ya uniform zitashonwa shuleni, mnunulie mahitaji yake binafsi umpeleke shule, naaminishule nyingi zitafungu kuanzia trh 9/1/2017. Ila yanayohusiana na mahitaji maalumu ya shule atayakuta huko. Joining instruction isikupe presha ili mradi tu ujiridhishe kuwa kachaguliwa shule hiyo.
 
Back
Top Bottom