Msaada wa Haraka!

Msaada wa Haraka!

Three idiot

Senior Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
188
Reaction score
154
Habarini za weekend wana jamii forum
Naomba kujua idadi ya kuchagua vyou ni ngap? Na kila chuo kimoja naruhusiwa kufanya chaguz za course mwisho ngap?
Kwa mfano mm nimechagua;
1. St. Augustine mwanza course; massc communication
2. St. Augustine mwanza course;public relations and marketing.
3. St. Augustine mwanza course;sociology.
4. Arbishop university Tabora course;sociology
5. Arbishop university Tabora course;public relation and marketing.

Swali langu ni kwamba mm nilidhani vyuo nachaguo vitano(5) alafu kila chuo kimoja nachagua course 3.
Mfano;

1. St Augustine mwanza;

First choice ni masscom,
Second choice ni sociology,
Third choice ni public relations and marketing and etc.

2. Arbishop university Tabora;
First choice ni public relations and marketing
Second choice ni sociology and etc.
Yani mfumu huu mpaka namaliza vyuo vyote vitano.

Kwa mliofanya application ilikuwaje msada please
 
Unaruhusiwa kuchagua vyuo vitano tu na kozi tano tu kama na unaruhusiwa kujaza kozi mbili tu kwa chuo kimoja mfano
Saut - koz mbili tofauti
Udom- kozi mbili tofauti
Udsm- koz moja
AU
SAUT - KOZ MOJA
UDSM - KOZ MOJA
UDOM- KOZI MOJA
TUMAIN- KOZI MOJA
MUM- KOZI MOJA
AU
SAUT - KOZI MBILI
UDOM- KOZ MOJA
UDSM - KOZI MOJA
MKWAWA- KOZI MOJA
sijui umenielewa kwa ufafanuzi huo
 
Ila una uhakika na soko la ajira la hzo course unazoenda kusoma
 
Wanajamvi naomba msaada wa kupangua machaguo ya kozi na vyuo nataka nibadilishe mpangilio, Maana nikiangalia kwenye account yangu sioni option hiyo. Naaply kupitia NACTE. msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom