Msaada wa haraka

Msaada wa haraka

Sadick Nkinda

Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
77
Reaction score
9
Jamani hivi form six wanahusika katika ku apply dip au ni dip ndo wana aply kwend degreee na je kwa wale form six waliokosa sifa za kwenda degree nin hatima yao ....
 
nadhani lengo lako hasa ni kutaka kujua hatma ya walio kosa sifa za kwenda degree ngoja utapata majibu.
 
Form six wanahusika katika ku apply dip..
Dip wana aply kwenda degreee..
Wale form six walikosa sifa kwenda degree wanaenda dip
 
Back
Top Bottom