msaada wa haraka wanajf!!!

Asango

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
234
24
naomba mnisaidie kw nini nikizima sm yng ynye lain ya tigo muda huohuo wife anapata sms kwmba mweny namba 0712...... Hapatikani hata km hajanipigia.nisaidieni kwn kuna muda nazima bt ninaumbuka.
 
Hapo nadhani itakuwa sim yake ina ainafulani ya setting specifically kwa ajili yako, lakini kwa nini unazima?
 
naomba mnisaidie kw nini nikizima sm yng ynye lain ya tigo muda huohuo wife anapata sms kwmba mweny namba 0712...... Hapatikani hata km hajanipigia.nisaidieni kwn kuna muda nazima bt ninaumbuka.

Kuna security tracking setting imefanywa kwenye handset yako na namba ya mke wako ndio iliyotumika kupoa tracking reports

Hiyo hufanyika hasa ili kufuatilia simu inapoibiwa, just kujua status

Kama unahitaji kuondoa hiyo na labda hujui namna ya kubadilii settings, chagua ku restore factory setting. Ila note: factory setting inafuta settings, contacts, picha na chochote ulichotunza kwenye simu

So unahitaji kuhakikisha umefanya buckup before doing this
 
hicho kitu hata kwenye simu yangu huwa kinatokelezea kuna dem nina nam,ba yake lakini kila akizima simu sms hiyo huja kwangu na mimi sijawahi shika simu yake hata mara moja wala yangu kuifanyia setting yoyote ile
 
naomba mnisaidie kw nini nikizima sm yng ynye lain ya tigo muda huohuo wife anapata sms kwmba mweny namba 0712...... Hapatikani hata km hajanipigia.nisaidieni kwn kuna muda nazima bt ninaumbuka.

pole kaka., yaan umeoa mke aliyesoma infOrmatin and technology... Na utafumwa tu teh teh
 
naomba mnisaidie kw nini nikizima sm yng ynye lain ya tigo muda huohuo wife anapata sms kwmba mweny namba 0712...... Hapatikani hata km hajanipigia.nisaidieni kwn kuna muda nazima bt ninaumbuka.

Una OA mwana IT???? kazi unayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom