msaada wa haraka wanajamii,

Ka2pain

Member
Apr 19, 2011
97
24
katika kujaza form ya kuombea mkopo kuna kipengele cha index number nimekosea. nimeandika namba isiyo yangu. Naomba mnisaidie jinsi ya kulirekebisha hili tatizo nililonalo (jinsi ya kuandika namba yangu)
 
Natumia mtandao lakini page haipatikani, labda unisaidie kama kuna njia nyingine
 
Back
Top Bottom