nyotanjema
Senior Member
- Sep 24, 2011
- 136
- 32
wadau msaada. Nimeconnect modem ya airtel imekubali vizuri but nikifungua browser kama mozila,IE zote hazitaki kuconnect na nimeshajaribu ku uninstall software ya modem then nikainstall upya but hakuna unafuu,pia nikiangalia kwenye network status ya data received na sent ni ndogo mno ili kupata net . naombeni msaada wadau