Msaada wa haraka wadau

thewajibu

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
226
292
Habari wana Jf, poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa, kuna mtu anahitaji msaada wa haraka sana ameniomba namba ya kipindi cha njia panda kinachorushwa na clouds ili aweze kupata msaada kutoka kwa watanzani, Asanteni
 
Sawa, kakuomba namba, sasa sisi unataka tufanyeje?. Onesha hitaji lako kwetu
 
Habari wana Jf, poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa, kuna mtu anahitaji msaada wa haraka sana ameniomba namba ya kipindi cha njia panda kinachorushwa na clouds ili aweze kupata msaada kutoka kwa watanzani, Asanteni
Nenda kwenye mitandaoni ya kijamii ya clouds. Instagram, Twitter, fb. Mbona simple?
 
Back
Top Bottom