Jifunze kuepuka matumizi ya "H" kwenye sehemu ya "A", ni muamala sio mhamala, inaboa sana hii kwa mtu muelewa.Nina tatizo hapa,shemeji yangu kawapigia TANDAO FULANI kwa simu ya kwangu ambayo yamezani na kuwalaghai password na huo mtandao waka reset password na kaweka mpya kisha kaamisha fedha zote.
Mimi nipo mbali ila kuna mtu kanitonya,sasa nikawapigia (HUO MTANDAO) kwa namba nyingine ninayo tumia humu yule muhudumu kanithibitishia kuwa jana tarehe 7 kuna mihamala miwili,wa kwanza ni 384,000.
Sasa nikamuomba yule muhudumu anitajie namba ambazo zimefanya mihamala kasema namba inaishia na (00)hivyo kama nataka namba yote kuifahamu basi niwapigie kwa namba ile ambayo iliyofanyiwa mihamala.
KABLA SIJAKWENDA NYUMBANI NAOMBENI USHAURI WA IMEKUWAJE HUU MTANDAO UTOE PASSWORD KWA LAINI YANGU NA KUMPA MTU MWINGINE PASIPO MIMI.
NAOMBENI USHAURI HATUA ZA KUFANYA ZA HARAKA
ASANTENI.......
Kwanza usiende nyumbani ukamkabili mtu yeyote kabla hujachukua hatua rasmi. Hapa kuna uwezekano wa social engineering/utapeli wa kupata password, na kwa kuwa fedha tayari zimehamishwa, muda ni muhimu.Nina tatizo hapa,shemeji yangu kawapigia TANDAO FULANI kwa simu ya kwangu ambayo yamezani na kuwalaghai password na huo mtandao waka reset password na kaweka mpya kisha kaamisha fedha zote.
Mimi nipo mbali ila kuna mtu kanitonya,sasa nikawapigia (HUO MTANDAO) kwa namba nyingine ninayo tumia humu yule muhudumu kanithibitishia kuwa jana tarehe 7 kuna mihamala miwili,wa kwanza ni 384,000.
Sasa nikamuomba yule muhudumu anitajie namba ambazo zimefanya mihamala kasema namba inaishia na (00)hivyo kama nataka namba yote kuifahamu basi niwapigie kwa namba ile ambayo iliyofanyiwa mihamala.
KABLA SIJAKWENDA NYUMBANI NAOMBENI USHAURI WA IMEKUWAJE HUU MTANDAO UTOE PASSWORD KWA LAINI YANGU NA KUMPA MTU MWINGINE PASIPO MIMI.
NAOMBENI USHAURI HATUA ZA KUFANYA ZA HARAKA
ASANTENI.......
SHUKRANI sana mkuuuKwanza usiende nyumbani ukamkabili mtu yeyote kabla hujachukua hatua rasmi. Hapa kuna uwezekano wa social engineering/utapeli wa kupata password, na kwa kuwa fedha tayari zimehamishwa, muda ni muhimu.
Wasiliana tena na huo mtandao kupitia njia yao rasmi, waambie wafunge akaunti/laini hiyo mara moja, waweke kumbukumbu ya tukio na waombe wahifadhi taarifa zote za miamala ya tarehe 7, ikiwemo muda, kiasi na namba iliyopokea fedha.
Pia toa taarifa Polisi mapema ukiwa na ushahidi wote: SMS, call logs, screenshots na taarifa za miamala. Waombe mtandao usifute kumbukumbu za mawasiliano na mabadiliko ya password kwa sababu hizo ndizo zitasaidia kufuatilia aliyeomba reset na aliyehamisha fedha.
Na jambo moja muhimu: usiingie kwenye mabishano na shemeji yako wala kumtuhumu moja kwa moja kwa sasa. Kwanza linda akaunti na hifadhi ushahidi, kisha uchunguzi utoe majibu.