Wakuu leo Wife amenipigia simu akaniuliza RANGI GANI UNAIPENDA? Nami bila hiyana wala tashwishwi nikajibu straight ni NYEUSI! Kilichotokea ni balaa yaani wife anamind kua simpendi eti kisa yeye ni mqwupe na mm nilikua sijui lengo la swali lake! wakuu nifanyaje kumtuliza maana kila nikijitetea haelewi.
Sent using
Jamii Forums mobile app