Msaada wa haraka unahitajika

nadhani wataalam hapo juu wamekushauri vizuri.

ila nataka kukwambia acha usharobaro oa ndugu.
malengo hayatimiagi...:)
 
No its not enough, hiyo inaitwa syndromic management of Sexually Tramsmitted Infections kinachfanyika hapo ni kucover all organisms ambao wanaweza sababisha hiyo hali. Combinimg antibiotics ni practice ya kawaida sana kwenye medicine. Hakuna shida yoyote. Do dome reading on Syndromic managemtnt of STI's.
Very true
 
Urethral Discharge Syndrome (UDS) tumia Ciprofloxacin 500mg twice daily for 7days pamoja na Doxycycline 100mg twice daily for 2 weeks pamoja na Secnidazole 2gm mara moja. Kama hujapona kafanye culture and sensitivity. Ni Muhimu girfriendwako pia atumie hiyo dozi.
Upo vzuri hii tiba ilinisaidia lkn nilikosea sikumtibu mpenzi tatizo likajirudia
 
How do you use cipro na doxycycline at the same time wkt zote antibiotics, mbona unataka mtu awahi namba
One dose is enough
huyo atakuwa dok wa praivet dispensari wanawaandikiaga hata antibiotic aina 4-6 tofauti kwa wakati mmoja WANAJALI MSHIKO WAKO TU!
 
Mkuu wahi Hospitali kamuone Daktar Wa hayo mambo atakusaidia, mimi mwenye ilishawahi kunitoke ila nilienda kumuona Daktar na alinisaidia mpaka leo niko fit kabisa.
 
Heshima kwenu wadau,
Mimi ni kijana wa kiume umri wangu miaka 31 ninasumbuliwa na tatizo hili;-
Wiki mbili zilizopita kuna siku nilitembelewa na girlfriend wangu ambaye tunaishi mikoa tofauti.

Alikaa siku mbili kisha akarudi anakofanyia kazi,
Sasa baada ya siku 2 nlianza kuona dalili ya kutokwa na vitu kama maziwa njano kwenye tundu la uume.

Nilimpigia simu girlfriend wangu na kumweleza kuhusu tatizo hilo na akasema yeye yuko safi na hana ugonjwa wowote wala hana dalili zozote za zinaa
Niliamua kuomba ushauri kwa jamaa mmoja anayeuza duka la dawa akanambia nina dalili za gono.

Akanichoma sindano moja ya powerseif pia akanipa vidonge vinavyoitwa Azuma vya kutumia siku nne.

Baada ya kumaliza dawa hizo nilipata nafuu kidogo ila baada ya siku mbili tatizo likarudi!
Ndipo nikaamua kwenda maabala kupima damu na mkojo.

Lakini majibu yalionyesha sina magonjwa ya zinaa ila nina UTI
nikashauriwa kutumia vidonge vya Azuma vya siku 6 lakini mpaka leo ni siku ya nne natumia dawa sioni mabadiriko.

Bado natokwa na hivyo vimaji vya rangi ya njano japo huwa hakuna harufu yoyote.
Najua humu kuna watu mbalimbali wenye uelewa kuhusu tatizo hili naombeni msaada wa ushauri ili nijue dawa gani itanisaidia.!
Natanguliza shukrani.
CRONIC STI's
 
No its not enough, hiyo inaitwa syndromic management of Sexually Tramsmitted Infections kinachfanyika hapo ni kucover all organisms ambao wanaweza sababisha hiyo hali. Combinimg antibiotics ni practice ya kawaida sana kwenye medicine. Hakuna shida yoyote. Do dome reading on Syndromic managemtnt of STI's.
He is right
Heshima kwenu wadau,
Mimi ni kijana wa kiume umri wangu miaka 31 ninasumbuliwa na tatizo hili;-
Wiki mbili zilizopita kuna siku nilitembelewa na girlfriend wangu ambaye tunaishi mikoa tofauti.

Alikaa siku mbili kisha akarudi anakofanyia kazi,
Sasa baada ya siku 2 nlianza kuona dalili ya kutokwa na vitu kama maziwa njano kwenye tundu la uume.

Nilimpigia simu girlfriend wangu na kumweleza kuhusu tatizo hilo na akasema yeye yuko safi na hana ugonjwa wowote wala hana dalili zozote za zinaa
Niliamua kuomba ushauri kwa jamaa mmoja anayeuza duka la dawa akanambia nina dalili za gono.

Akanichoma sindano moja ya powerseif pia akanipa vidonge vinavyoitwa Azuma vya kutumia siku nne.

Baada ya kumaliza dawa hizo nilipata nafuu kidogo ila baada ya siku mbili tatizo likarudi!
Ndipo nikaamua kwenda maabala kupima damu na mkojo.

Lakini majibu yalionyesha sina magonjwa ya zinaa ila nina UTI
nikashauriwa kutumia vidonge vya Azuma vya siku 6 lakini mpaka leo ni siku ya nne natumia dawa sioni mabadiriko.

Bado natokwa na hivyo vimaji vya rangi ya njano japo huwa hakuna harufu yoyote.
Najua humu kuna watu mbalimbali wenye uelewa kuhusu tatizo hili naombeni msaada wa ushauri ili nijue dawa gani itanisaidia.!
Natanguliza shukrani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom