Msaada wa haraka unahitajika kwa hili!

Msaada wa haraka unahitajika kwa hili!

Inawezekana unazivaa vibaya, zinajaa hewa, hatimae kuvimba na kipasuka...

Ukivaa condom inahitaji ufanye kwa ustaarabu hazihitaji mikiki mikiki...

Ukienda dry ndiyo unaweza cheza utakavyo...


Cc: mahondaw
 
Tumia condom aina ya duluxe(5k) au rough rider(,3k) hautajuta...na kam dem upo dry sana acompany the condom with ky.
.yan paka iyo kwenye uke then anza kusugua...hautapata shida wala ndom haiwez pasuk
 
Weka condom funga na ule mpira wa manati
 
Tumia condom aina ya duluxe(5k) au rough rider(,3k) hautajuta...na kam dem upo dry sana acompany the condom with ky.
.yan paka iyo kwenye uke then anza kusugua...hautapata shida wala ndom haiwez pasuk
Natumia all Night mkuu
 
[emoji23] [emoji23]
1532877942852.jpg
1532877942852.jpg
 
Cio mbya ...labda uke unakua mvu sana na iyo inaweza sababisha condom kupasuk..bora ulainishe k **m kutumia ile cream ya ky..
Ukumbuke tena kumiza PEP dem akigoma kutest after sex
Kumeza nini mkuu hapa sijaelewa kabisa!
 
Kumeza nini mkuu hapa sijaelewa kabisa!
Kondom ikipasuka kuna uwezekano ukubwa wa kupata ukimwi kam ule partner wako anao au akigoma kupima so we una meza vidonge vya dawa ambavyo ni PEP yan kujikinga from being affected with Hiv.....
Kwaufupi Pep ni dawa ambalo unameza siku 28 Mfululizo.lina uwezo wa kuuwa vile virus vya ukimwi ukianza kumeza kabla ya masaa 72 toka ufanye tendo
 
Wakuu tumekuwa tukishauriana sana juu ya afya zetu na kuepuka ngono zembe!yaani kuvaa condom wakati wa kusex,kwa kweli ila huwa nazingatia sana kuvaa condom lakini kinachonikumba Mara kwa Mara pindi nimalizapo kusex najikuta either nimepaki na kile kijipira tu cha condom au sina kabisa na sijui ilipopotelea na wakati nilivaa vizuri tu!nimejaribu kutumia aina nyingi za condom lakini Mara nyingi hali hiyo huwa inatokea sasa wakuu nifanyaje ili condom zisiwe zinapasuka ovyo ama kupotea kabisa mazingira tatanishi maana huwa napenda kuunganisha viwili kwa mpigo bila kutoka ulingoni yaani 2 in 1,ushauri wenu ni muhimu sana tuokoe jahazi
punguza papara kama fuso lililo kata breki mlima kitonga!.Ndo dawa la tatizo lako.
 
Wakuu tumekuwa tukishauriana sana juu ya afya zetu na kuepuka ngono zembe!yaani kuvaa condom wakati wa kusex,kwa kweli ila huwa nazingatia sana kuvaa condom lakini kinachonikumba Mara kwa Mara pindi nimalizapo kusex najikuta either nimepaki na kile kijipira tu cha condom au sina kabisa na sijui ilipopotelea na wakati nilivaa vizuri tu!nimejaribu kutumia aina nyingi za condom lakini Mara nyingi hali hiyo huwa inatokea sasa wakuu nifanyaje ili condom zisiwe zinapasuka ovyo ama kupotea kabisa mazingira tatanishi maana huwa napenda kuunganisha viwili kwa mpigo bila kutoka ulingoni yaani 2 in 1,ushauri wenu ni muhimu sana tuokoe jahazi
Mie nakushauri uanze kuvaa condom kichwani
 
Kumbe tupo wengi, mi hadi nimeachaga kutumia hayo mapira jamaaaa
 
Back
Top Bottom