Hahahaaa!tatu mkuu[emoji23] ?Vaa tatu tatu lbd ..spea ni muhimu
Umeeleza kwa kina sana mkuu!big up sana,maelezo yako yanajitosheleza kabisa! Ila hapo uliposema condom hupotelea kwenye uke baadae inatoka au inakuwaje maana huwa sometimes najaribu kuitafuta kimyakimya pindi napoikosa kwenye dushe bila mafanikio yoyote na hii imeshanitokea Mara tatu sasa kwa mademu tofautiUnakosea...kondom inatumika mara moja kwa kila tendo, unapo unganisha round ya pili kwa kondom ile ile uimara wake unapungua na lazima ichomoke coz tayar inakuwa na uterezi wa bao lako kwa ndani hivyo haiwez kujishikisha vzur kweny uume. Either itachomoka na kuishia kweny uke au itapasuka na wew kubaki na ile pete yake tu kweny shina la dushe. Ndo mana hutakiwa kupaka kilainishi chochote kweny uume kabla ya kuvaa kondom ili iweze kushikana vzur na mwili wa dushe. Na pia tuwe wakweli kuunganisha bao inawezekana ndio lakin bado uimara wa uume kusimama hauwez kuwa sawa na pale ulivyoanza... lazima kuna kaulegevu kidooooogo katatokea tu na hapo possibility ya kondom kuchomoka au kupasuka inakwepo. Kwan ukibadilisha na ukaendelea kuna tatzo gani!!! kwan inachukua mda gan. Kacheki na afya pia mana kama huwa inachomoka na kupasuka mara kwa mara mana yake ni kwamba huwa unafanya kavu kavu, mwanzon huwa unavaa km ushahidi tu ionekane unajali kumbe hamna lolote.
Nimekuelewa mkuuAcha kuunganisha two in one
Vaa condom vizuri, hakikisha unaiminya chuchu ya condom wakati unaivaa
Kwenye kupiga mzigo usifanye ligi, piga kistaarabu
Uwe u naangalia kama bado ipo hata baada ya muda flani wakati una in na ku out
Tumia hizi mbinu halafu uje utupe mrejesho
Hahaahaa!used kivipi sasa?Wacha kutumia condom used.
Hahahaa[emoji23]Vaa condom ya bati mkuu
Unamwambia tu mwanamke kuwa imechomoka.. kama haiko mbali anaivuta yeye mwenyew na mkono anaitoa au wew mwenyew unaitoa na bahat nzur huwa haiendi mbali sanaUmeeleza kwa kina sana mkuu!big up sana,maelezo yako yanajitosheleza kabisa! Ila hapo uliposema condom hupotelea kwenye uke baadae inatoka au inakuwaje maana huwa sometimes najaribu kuitafuta kimyakimya pindi napoikosa kwenye dushe bila mafanikio yoyote na hii imeshanitokea Mara tatu sasa kwa mademu tofauti
Ina maana kipande vya condom huwa havitoki tena baada ya kuishindilia humu?Nina wasi wasi sana mkuuKondom inatumika kwa round moja.
Sasa unakomaa kuunganisha rounds ili iweje?
Tatizo unalijua alafu unauliza ili upate majibu gani?
Uvaaji, hakikisha hewa haiingii kwenye kondom kwa kushika ile chuchu ya kondom wakat unavaa.
Punguza kua rough, sex sio ugomvi mkuu, usitumie minguvu kama unataka kuua mtu
Na ukiendelea na tabia ya kuunganisha rounds iko siku utampeleka mpenzi wako hospital kutolewa kipande cha kondom
Sivuti bangi wala sigara wala pombe wala disco sasa nifanyaje mkuu?acha ngono
Hahahaaa[emoji23]Labda kule ndani kuna panya anang"ata wewe hujui
mpokee YesuSivuti bangi wala sigara wala pombe wala disco sasa nifanyaje mkuu?
Mara nyingi nikimaliza mechi ndio huwa najigagua kama IPO au hapana nikikuta imetoweka najikaza kiume sisemi chochote maana nikisema imechomoka naweza nikasingiziwa mimba za mwendo kasi[emoji23]Unamwambia tu mwanamke kuwa imechomoka.. kama haiko mbali anaivuta yeye mwenyew na mkono anaitoa au wew mwenyew unaitoa na bahat nzur huwa haiendi mbali sana
Tayari mkuumpokee Yesu
Nitajaribu kununua za bei kubwa zaidiSi utumie moja kwa kila tendo!
Acha kutumia kondomu za jero jero