Msaada wa haraka unahitajika kwa hili!

Msaada wa haraka unahitajika kwa hili!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Wakuu tumekuwa tukishauriana sana juu ya afya zetu na kuepuka ngono zembe!yaani kuvaa condom wakati wa kusex,kwa kweli ila huwa nazingatia sana kuvaa condom lakini kinachonikumba Mara kwa Mara pindi nimalizapo kusex najikuta either nimepaki na kile kijipira tu cha condom au sina kabisa na sijui ilipopotelea na wakati nilivaa vizuri tu!nimejaribu kutumia aina nyingi za condom lakini Mara nyingi hali hiyo huwa inatokea sasa wakuu nifanyaje ili condom zisiwe zinapasuka ovyo ama kupotea kabisa mazingira tatanishi maana huwa napenda kuunganisha viwili kwa mpigo bila kutoka ulingoni yaani 2 in 1,ushauri wenu ni muhimu sana tuokoe jahazi
 
Unakosea...kondom inatumika mara moja kwa kila tendo, unapo unganisha round ya pili kwa kondom ile ile uimara wake unapungua na lazima ichomoke coz tayar inakuwa na uterezi wa bao lako kwa ndani hivyo haiwez kujishikisha vzur kweny uume. Either itachomoka na kuishia kweny uke au itapasuka na wew kubaki na ile pete yake tu kweny shina la dushe. Ndo mana hutakiwa kupaka kilainishi chochote kweny uume kabla ya kuvaa kondom ili iweze kushikana vzur na mwili wa dushe. Na pia tuwe wakweli kuunganisha bao inawezekana ndio lakin bado uimara wa uume kusimama hauwez kuwa sawa na pale ulivyoanza... lazima kuna kaulegevu kidooooogo katatokea tu na hapo possibility ya kondom kuchomoka au kupasuka inakwepo. Kwan ukibadilisha na ukaendelea kuna tatzo gani!!! kwan inachukua mda gan. Kacheki na afya pia mana kama huwa inachomoka na kupasuka mara kwa mara mana yake ni kwamba huwa unafanya kavu kavu, mwanzon huwa unavaa km ushahidi tu ionekane unajali kumbe hamna lolote.
 
Acha kuunganisha two in one

Vaa condom vizuri, hakikisha unaiminya chuchu ya condom wakati unaivaa

Kwenye kupiga mzigo usifanye ligi, piga kistaarabu

Uwe u naangalia kama bado ipo hata baada ya muda flani wakati una in na ku out

Tumia hizi mbinu halafu uje utupe mrejesho
 
Acha kuunganisha two in one

Vaa condom vizuri, hakikisha unaiminya chuchu ya condom wakati unaivaa

Kwenye kupiga mzigo usifanye ligi, piga kistaarabu

Uwe u naangalia kama bado ipo hata baada ya muda flani wakati una in na ku out

Tumia hizi mbinu halafu uje utupe mrejesho
Yeah
 
Kondom inatumika kwa round moja.
Sasa unakomaa kuunganisha rounds ili iweje?
Tatizo unalijua alafu unauliza ili upate majibu gani?

Uvaaji, hakikisha hewa haiingii kwenye kondom kwa kushika ile chuchu ya kondom wakat unavaa.
Punguza kua rough, sex sio ugomvi mkuu, usitumie minguvu kama unataka kuua mtu

Na ukiendelea na tabia ya kuunganisha rounds iko siku utampeleka mpenzi wako hospital kutolewa kipande cha kondom
 
Back
Top Bottom