Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,903
- 172,780
Eve una balaa wew!!si nilisikia una mume humu
Hata ukiguna bikra ninayo.....
najua unayo E.S, na Captain MUYOOL kasema mtutunzie sie mpaka siku tutapowaoeni..
Wakati huo huo huna mchumba wala boyfriend, ni njia ipi itatumika kuigawa huenda nami nikaomba kadi ya mwaliko..Sisubiri ndoa ntaigawa siku ya birthday.
Wakati huo huo huna mchumba wala boyfriend, ni njia ipi itatumika kuigawa huenda nami nikaomba kadi ya mwaliko..
Hiyo inayong'olewa ni bikra au kisiki?
Kikra inang'olewa ndo maana huwa hairudi kwa mara ya pili
Kinang'olewa kisiki cha mti, linang'olewa jino....
Najua kisiki kinang'olewa na niniKinang'olewa kisiki cha mti, linang'olewa jino....
Najua kisiki kinang'olewa na nini
Najua jino linang'olewa na nini
Sasa bikra inang'olewa kwa kutumia nini?
Bikra yako ilipong'olewa damu zilitoka?
Labda sululu ya nyama
Kwanza umesema labda hii inaonesha huna uhakika
Pili hiyo sululu ni nini?
Mi najua kuna sururu na hii ni picha yake hapa chini
Uliposema "sululu" ulikuwa unamaanisha nini?
Kama haing'olewi inafanywaje?
FaizaFoxy aliwahi kusema inabanduliwa nikamuuliza inabanduliwaje hakuniambia
Hebu niambie wewe!
Inatolewa na sululu ya nyama a.k.a mbouo
Sijaelewa
Mbouo ndiyo kitu gani?
It is an extra leg for men....