Q Quan Lup JF-Expert Member Joined Sep 26, 2016 Posts 710 Reaction score 1,011 Apr 7, 2018 #1 Nina compture yangu HP Compaq Ina tatizo inaingiza chaji den baada ya mda inakata nini tatizo Msaada wada chief mkwawa na wengine wenye uelewa wa haya mambo
Nina compture yangu HP Compaq Ina tatizo inaingiza chaji den baada ya mda inakata nini tatizo Msaada wada chief mkwawa na wengine wenye uelewa wa haya mambo
moto nkali JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 378 Reaction score 216 Apr 7, 2018 #2 Quan Lup said: Nina compture yangu HP Compaq Ina tatizo inaingiza chaji den baada ya mda inakata nini tatizo Msaada wada chief mkwawa na wengine wenye uelewa wa haya mambo Click to expand... Inawezekana tatizo ni power adapter yako ama betri ama charging system. Fanya kauchunguzi kidogo kubaini tatizo liko wapi kwa kubadilisha either battery ama adapter kwa mtu mwenye pc kama yako
Quan Lup said: Nina compture yangu HP Compaq Ina tatizo inaingiza chaji den baada ya mda inakata nini tatizo Msaada wada chief mkwawa na wengine wenye uelewa wa haya mambo Click to expand... Inawezekana tatizo ni power adapter yako ama betri ama charging system. Fanya kauchunguzi kidogo kubaini tatizo liko wapi kwa kubadilisha either battery ama adapter kwa mtu mwenye pc kama yako
Q Quan Lup JF-Expert Member Joined Sep 26, 2016 Posts 710 Reaction score 1,011 Apr 7, 2018 Thread starter #3 moto nkali said: Inawezekana tatizo ni power adapter yako ama betri ama charging system. Fanya kauchunguzi kidogo kubaini tatizo liko wapi kwa kubadilisha either battery ama adapter kwa mtu mwenye pc kama yako Click to expand... Nimeweka adaptor nyingine imegomaa nimewasha bila bettries inawaka den inazima
moto nkali said: Inawezekana tatizo ni power adapter yako ama betri ama charging system. Fanya kauchunguzi kidogo kubaini tatizo liko wapi kwa kubadilisha either battery ama adapter kwa mtu mwenye pc kama yako Click to expand... Nimeweka adaptor nyingine imegomaa nimewasha bila bettries inawaka den inazima