Msaada wa haraka sielewi hii lugha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa haraka sielewi hii lugha!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by G spanner, Dec 13, 2011.

 1. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wana jf nimekwama laptop yangu inaandika lugha nisiyoijua(ni kama kirumi au kifaransa) katika option zote za internet browser yoyote inaonekana kuna sehemu imesetiwa na mtu naomba msaada niweze kuona kingereza kwenye hizi option za internet browser msaada plz!
   
 2. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  duh! Hiyo itakuwa ngumu sana kukusaidia unless uwe umekariri steps za kuchange language kwenye internet browser. The best way to do is to uninstal the browser and install again.
   
 3. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nimejaribu kuinstal web browser nyingine lakini bado kuna hii lugha aina ya computre nnayotumia ni dell d630 je hii setting naweza kuipata wapi?
   
 4. Mapondela

  Mapondela JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kama umenunua dukani ni simple. Rudisha then they will solve themselves. Lakini kama umenunua kwa mtu labda amemuibia huyo mwenye lugha yake sasa hapo itakua ngumu. Pole
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hiyo laptop ni mpya au hayo mauzauza yameanza tu ghafla???????????
   
 6. HT

  HT JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  change language. Hiyo ipo ktk settings so hata uki uninstall bila kufuta settings ukiweka tena ina load settings za zamani.
  Hujasema OS wala aina ya browser, so msaada unaishia hapa kwa sasa
   
 7. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kama inakuzingua pija windows chini uweke upya
   
 8. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #8
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  wewe ni technician au mfano wa technician? Kitu kidogo hivyo unamshauri mtu apige os chini.
   
Loading...