habari zenu
naomba kuuliza hivi viwango vipya vya ufaulu vilipitishwa au vinatumika vya zamani fano F mwisho 21? naombeni kujuzwa natanguliza shukrani zenu
note. kwenye makosa tusahihishane na sio kukashifiana asanten
Weep not mtoto!
Kwa msaada na uushauri,ni bora uweke malengo ya viwango vipya ili kama wataangalia vipya utakua sehem nzur au wakishuka 21 pia utaku kwenye kiwango cha juu ndugu yangu coz gvt bado haija tangaza officialy
habari zenu
naomba kuuliza hivi viwango vipya vya ufaulu vilipitishwa au vinatumika vya zamani fano F mwisho 21? naombeni kujuzwa natanguliza shukrani zenu
note. kwenye makosa tusahihishane na sio kukashifiana asanten
kuwa sehemu ya ushindani kwa kulenga alama mpya,maana waziri akilala,akiamka alama atakazoota ndotoni kwake ndo hizohizo zitatumika kwahiyo kuwa makini sana kijana....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.