KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,146
- 40,912
Wasalaam...Nina rafiki yangu ambaye alikuwa very bright shuleni....alipata daraja zuri sana kidato cha nne kiasi kwamba wengi tuliamini angefika mbali kimasomo..lakini mambo yameharibika baada ya kufeli mtihani wa kidato cha sita..hapo ndipo alipoanza kuwa mlevi..na bange ikawa ndio rafiki yake..huu ni mwaka wa nne..bado yuko hivo hivo...mlevi tena mlevi mbwa..kwa kifupi amepoteza dira..kila nikimuona roho inauma..sana..nashindwa jinsi ya kumshauri sababu ukimuuliza anasema hajisikii kufanya lolote...anasema mara nyingi kuna nafsi inamtuma ajiue....naombeni msaada wenu wadau ili tumuokoe rafiki yetu mpendwa...
Mgonjwa wa akili huyo. Msaidie aonane na dr wa akili then labda atashauri apelekwe rehab.

Umesema kweli kwani wakati mwingine ni idling,frustrutions,stress,umasikini na mengineyo humfanya mtu awe nyumba ya shetani.Ikifikia hapo ndo mambo kama yanayomkuta jamaa yanapoanzia.Ila asiache kupelekwa kwa Psychiatric apewe tiba na counselling.Kujiua ni kumpa adui ushindi akifika kule kuzimu ndo atajutia kwani izo bia baridi na nyama choma anazoinjoi sasa hivi kule hazipo au bei inaweza kuwa juu sana akashindwa kununua matokeo yake atakufa tena mara ya pili.Hasa hili umwambie na umsisitizie ikiwezekana muoneshe meseji yangu hii asipoamini NiDipu niongee naye anacheza na kifo!jaribu kumweka karibu na wewe mda mwingi upatapo nafasi mpe na michongo ya vibarua at least awe busy kidogo apo ndo atakapoanza kufunguka macho.
jaribu kumweka karibu na wewe mda mwingi upatapo nafasi mpe na michongo ya vibarua at least awe busy kidogo apo ndo atakapoanza kufunguka macho.
....asante mkuu.Umesema kweli kwani wakati mwingine ni idling,frustrutions,stress,umasikini na mengineyo humfanya mtu awe nyumba ya shetani.Ikifikia hapo ndo mambo kama yanayomkuta jamaa yanapoanzia.Ila asiache kupelekwa kwa Psychiatric apewe tiba na counselling.Kujiua ni kumpa adui ushindi akifika kule kuzimu ndo atajutia kwani izo bia baridi na nyama choma anazoinjoi sasa hivi kule hazipo au bei inaweza kuwa juu sana akashindwa kununua matokeo yake atakufa tena mara ya pili.Hasa hili umwambie na umsisitizie ikiwezekana muoneshe meseji yangu hii asipoamini NiDipu niongee naye anacheza na kifo!
msaada pekee wa maana unaoweza kumpatia ni kumpeleka kwa madaktari wanaoshughulikia matatizo ya akili,,,,,,,,,,,,,
suicidal ideation ni mbaya sana kwa wenye matatizo ya akili......