dawa hii ndio unayotumia au hii ndio mpya..?Ninashida na kuuliza Dawa ya wadudu nipo ktk shamba la matikiti nahitaji kubadilisha Dawa baada ya Kuona Dawa nitumiayo haina madhara kwani wadudu wana endelea kula niche yangu
Sasa nimeadhimia kupiga Dawa hii kwa sasa naomba maelezo mwenye nayoView attachment 367299View attachment 367300
hiyo dawa ni nzuri unapiga cc15 ktk bomba la lita 20 ila vizuri ukachanganya na Abanil au SepterMpya mkuu