msaada wa haraka ndoa inavunjika

Umeshajitambua umekosea wapi, kifuatacho ni nia yadhati kutubu nakuacha..uzinzi mwiko kaka!
 
Kwanza nikupe pole mkuu, halafu nikueleze tu kua haujarogwa hapo umejiroga na umejiroga kwa hisia za mapenzi ambapo hisia zako zote kwa asilimia karibu mia moja umezikabidhi kwa hako kadada hivo kwa mkeo unaingia kama boksi vile ukiweza kurudisha hisia za mapenzi kwa mkeo kazi utakua umemaliza
 
Mimi kinachoniumiza ni kuwa addicted na machangudoa, kuwaacha nimeshindwa, maombi tafadhali
 
Kumbuka mkeo hadi dakia hii tayari anajua kabisa unapga mechi za nje hvo sio vyema kuzidi kumuumiza rudisha moyo wako kwa mkeo na umfanye awe na furaha utailinda ndoa yako vyema mkuu
 
Mimi kinachoniumiza ni kuwa addicted na machangudoa, kuwaacha nimeshindwa, maombi tafadhali

hapana kuwaacha inawezekana sana tena ni rahisi jaribu kufanya yafuatayo kwanza mpende zaidi mkeo, anza kuchukua muda mrefu kua karibu nae, hakikisha amependeza kias kwamba ujihisi unamtamani kila saa kwanza kwa kumpatia mahitaji yote ya msingi ikiwamo gharama za salun na mavazi mujarabu ili awe na mwonekano unaoupenda hayo ni mambo ya awali kabisa pili badili uwanja waweza mchukua mkeo mkasafiri nje ya hapo mnapoishi (sex outing) itasaidia sana
 
zamlock suit your self bro umelikoroga shurti ulinywe.
 
Last edited by a moderator:

Hahahaa haaaa uwiii Imebidi nicheke tu
lara 1 u jus go there jpil utapata maelekezo ya jinsi ya kumpata
 
mmmhhh
ndo nabii huyu?
hakyanani ctaki kuhukum ila bora Yesu arudi tu
 
Usiache akili yako ikatawaliwa na hawara, cha msingi rudisha akili kwa mkeo.
 
madhara ya kazi ya nje
ht hilo bao 1 ni kwa tabu coz ht unapokuwa kwny tendo unamuwaza hyo kimada.
nafasi ya mkeo imechukukiwa na kimada (nafsi)
 
....
.... chukua pilipili ponda ponda changanya na maji...then tawazia EXIT HOLE....
 
nakemea pepo la uzinzi toka toka huna mamlaka na mwili wa mwanaume huyu .... nakuamuru toka mrudie yule binti nailii yake ife ganzi naaikimwona mkewe isimame mpaka asubuhi amen.....

makubwa haya, haya mchungaji wewe nawe una mambo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…