msaada wa haraka ndoa inavunjika

trust me ukishaanza kupiga nje, ndani huwezi tena, wanaume wengi wagonga nje huko nje huwa wana-perform sana but ndani ni zero! kama wataka kurudia kiwango chako acha kupiga nje!
 
yupo facebook kajaa tele
 
trust me ukishaanza kupiga nje, ndani huwezi tena, wanaume wengi wagonga nje huko nje huwa wana-perform sana but ndani ni zero! kama wataka kurudia kiwango chako acha kupiga nje!
ulijuaje kaka
 
Matatizo twajitakia wenyewe unatoka njee wkt kuna watu wana mahitaji yao ya kijamii wakikuroga uharibu ndoa je,utajilaumu mwenyewe,umewafuata, wenyewe........mwisho wa siku unakua kaa mbwa kwa chatu.....unajua waenda kufa unalia huku wajipeleka......stop now, you got yourself into it you can get yourself out same door you got in! Mungu akusaidie
 


namba sitakupa....ila naweza kukupeleka...muda mzuri ni saa 7 usiku...
 
Mkuu hiyo itakuwa complicated situation ambayo ni ngumu kushauriana hapa JF. Sio wewe tu hiyo hali inakutokea...
 
Acha kumsingizia shetan! Shetan wako ni huyo binti unayetembea naye, tena bora umwombe msamaha mke wako.
 

Nitafute jumatano next week nitakuwa naye Kilimanjaro hotel nina kazi naye.
 
Aisee nimependa sentensi yako shetani kakupiga bao...but u still have time to confess.,then hali yako itarudi kama awali!
 
Ndo matokeo ya zinaa

Wajanja watampiga mkeo siku si nyingi

Samahani wanaosali kwa flora si wameokoka? Bado wanafanya uzinzi na uasherati

Nakushauri tubu kwa Mungu wako, muonbe radhi mkeo
Na jua hakuna mwanamke atakayekupenda kama mkeo

Mfute huyo mzinzi mwenzio kichwani hapo mgegedo wako utafanya kaI (omba sana asiwe amekuroga mgegedo ulale doro)
 
Hahaaa!kwa staili hiyo subiri mkeo nae atapata anaemfeel,atamridhisha,we endelea na binti ukifika kwa mkeo mpake shombo,usije hapa unalia,hovyo sana wewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…