Msaada wa haraka: Nasumbuliwa na goti

ilala yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
1,698
Reaction score
2,641
Wakuu salaam,

Ni week Sasa NASUMBULIWA na goti limevimba vimba linauma alaf limekaza hata turning ya mguu kutembea imekua tatizo nachechemea tu.

Nimechuliwa na kuchuliwa ila ngoma inalegea kidogo na kukaza Tena.

Ni tatzo limekua likintokea Mara kadhaa huko nyuma pia

Sijaumia Wala kuanguka linavimba t na kukaza lenyewe.

Naombeni ushauri wenu wakuu kipi Bora chakufanya maana ishakua mtihani kwangu.

Natanguliza shukrani kwenu wakuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…