Msaada wa haraka;naaply chuo nashindwa kuverify malipo

Superleta

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
466
538
Nipo naaply chuo hapa nashindwa kuverfy malipo natumia simu na risti namba ninayo kila kitu nashindwa pa kuingiza inanifanyia hv

Nifanyeje????
Screenshot_20190810-161449.jpeg
Screenshot_20190810-161442.jpeg
 
Nipo naaply chuo hapa nashindwa kuverfy malipo natumia simu na risti namba ninayo kila kitu nashindwa pa kuingiza inanifanyia hv

Nifanyeje????View attachment 1177649View attachment 1177650
Unaingiza reseat wapi mkuu? Nachojua Mimi ukishapata control number, then ukilipia kwa tigopesa, airtel money au mpesa au bank ,hiyo system inafunguka yenyewe,sasa Sikuelewi unavyosema unaweka reseat ya malipo, kwa sababu hakuna sehemu ya kuweka Hiyo reseat. Inshu Kubwa ni kuwa na hiyo control number na namba ya kampuni tu, na hapo juu nimeona vyote hivyo viwili unavyo, sasa sijui unakwama wapi bro?
 
Niligundua mpk wapigiwe cm wafowadiwe msg ya malipo
 
Kaka unaapply chuo siku ya deadline,ulikua wap siku zote hizo..Ukilipia wanatambua muda huo huo,then unarefresh tu
 
Ushachelewa wait next door...

Hivi huwa chuo km chuo wanatangaza lini wale waliopata nafasi...

Au ndio mpka TCU tu pekee ndio hutangaza
 
Back
Top Bottom