Msaada wa haraka na dharura unahitajika!

Msaada wa haraka na dharura unahitajika!

Nakubaliana na wewe mkuu, lakini je, hii njia ni sahihi na haiwezi kuleta matatizo hapo baadaye?

Si unajua matimbwili yakianza kwenye mahusiano, dah kauli kama hizi "mtu mwenyewe tumekutana jf, nenda zako"
Mkuu maneno ya kashfa wakati wa timbwili huwezi kuyazuia manake hata waliokutana kivingine wanapeana hayo rafiki. Kwa upande wangu njia hii sioni kama ina matatizo yoyote kwani ukorofi na kutoleana kashfa inategemea wahusika wanabusara kiwango gani . Wengine walikutana harusini na mahusiano yakaduma na wengine walifuatwa nyumbani kwao na mahusiao ktk ndoa yakawa ndivyo sivyo " si ulinifuata wewe mwenyewe kwetu". Kama ulivyosema ukimuomba Mungu anakupatia alie mwema hata kama ikibidi mtu huyo ukutane nae kwenye ndege au daladala kama Mungu kapitisha ndoa hiyo itakua nzuri tu. Mke/Mume mwema mtu hupewa na Bwana
 
Sawa mkuu basi ngoja nireserve comment zangu mpaka hapo utakapo weka utafiti wako kamili maana nina mengi ya kuchangia.

Mkuu methods: 1. Observatory 2. Participatory 3. Self evidence - mfano mtu anasema kwa kweli sitaki kutendwa tena.

Zingine nareserve.
 
Mkuu methods: 1. Observatory 2. Participatory 3. Self evidence - mfano mtu anasema kwa kweli sitaki kutendwa tena.

Zingine nareserve.
Mkuu nasubiri kwa hamu kuchangia mara tu ukimaliza research yako
 
Mkuu maneno ya kashfa wakati wa timbwili huwezi kuyazuia manake hata waliokutana kivingine wanapeana hayo rafiki. Kwa upande wangu njia hii sioni kama ina matatizo yoyote kwani ukorofi na kutoleana kashfa inategemea wahusika wanabusara kiwango gani . Wengine walikutana harusini na mahusiano yakaduma na wengine walifuatwa nyumbani kwao na mahusiao ktk ndoa yakawa ndivyo sivyo " si ulinifuata wewe mwenyewe kwetu". Kama ulivyosema ukimuomba Mungu anakupatia alie mwema hata kama ikibidi mtu huyo ukutane nae kwenye ndege au daladala kama Mungu kapitisha ndoa hiyo itakua nzuri tu. Mke/Mume mwema mtu hupewa na Bwana

Mkuu una point. Lakini tofauti ni kwamba hapa jf watu wanabehave kwa namna nyingi ambazo zinawafanya wasiwe real, mfano kuhide id, emotions na expression zinaweza kuwa very unrealistic kulinganisha na kukutana uso kwa uso. Mfano, mtu anakusoma interest yako halafu anajitune temporarily ili aweze kukutrap, je haiwezi kusababisha incompatibilities in future halafu ikaleta ghasia?
 
Nami ni mgeni kama wewe..nimekuwa nikichungulia kwa zaidi ya miaka miwili lakin nimeona wengine ambao wapo serious endelea na utafiti wako kwa umakini mzuri utagundua...
 
Mku Ablessed mtu akisema mtu mwenyewe nimekupata jf maana yake anamwambia huyo mke "you are cheap" vinginevyo wanaume wangekuona tu, ni kama vile anajutia kosa alilofanya wakati source ya ugomvi inaweza kuwa haina uhusiano na yeye kumpata jf.
 
Nami ni mgeni kama wewe..nimekuwa nikichungulia kwa zaidi ya miaka miwili lakin nimeona wengine ambao wapo serious endelea na utafiti wako kwa umakini mzuri utagundua...

Mkuu Dr. mo ni kweli kabisa kuna watu wapo serious, lakini wengi wanasukumwa na factors nilizoziorodhesha hapo juu? Ukimpata mwenza hapa will you confidently tell your friends, family, neighbours "I met my wife/man at jf"?
 
Kwa namna ulivyochambua, naona ni kama umewagusa wanawake/wasichana wote...in numbers to be exactly ni 100%
 
Kwa namna ulivyochambua, naona ni kama umewagusa wanawake/wasichana wote...in numbers to be exactly ni 100%

Cha msingi mkuu ni kushauri namna ya kufanya hizo harakati kwa ufanisi.
 
mkuu simplicity kuna ndoa humu jf...huwa zinasemekana watu wamekutana humu mpaka kuoana...lakini nikubaliane na wewe ni asilimia ndogo sna ukilinganisha na idadi ya post za kutafuta wenza
 
muanza kesi ndie mmaliza kesi mambo ya kuyakoroga huko alafu uanze kujaribu uone mawazo yetu yakoje dogo hapo imekula kwako hii tunaikanyagia ili siku nyingine uje na mawazo yenye akili
 
muanza kesi ndie mmaliza kesi mambo ya kuyakoroga huko alafu uanze kujaribu uone mawazo yetu yakoje dogo hapo imekula kwako hii tunaikanyagia ili siku nyingine uje na mawazo yenye akili

Kivip mkuu, unadhani sio kweli?
 
mkuu simplicity kuna ndoa humu jf...huwa zinasemekana watu wamekutana humu mpaka kuoana...lakini nikubaliane na wewe ni asilimia ndogo sna ukilinganisha na idadi ya post za kutafuta wenza[/QUOTE

Inawezekana zipo.lakini je, zinakuwa stable hasa ukizingatia nature ya formation ya hizo ndoa?
 
Back
Top Bottom