Msaada wa haraka/modern gate

Msaada wa haraka/modern gate

dm2000inter

Member
Joined
Oct 27, 2010
Posts
29
Reaction score
10
Wana JF,
Naomba msaada wenu kwa mtaalamu wa mageti ya nyumba ya chuma. Kwa yeyote mwenye picha tofauti tofauti anisaidie please wezi wananinyemelea. Naomba picha za mageti ya kisasa sio la ku-slide. Nawashukuru wana JF maana najua hapa ni kila kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom