Msaada wa haraka meno yangu yanapukutika

Msaada wa haraka meno yangu yanapukutika

Lager

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2019
Posts
396
Reaction score
1,089
Madaktari hebu nisaidieni meno yangu yanapukutika sijui kwanini!

Jino linapukutika tu mwishowe linakatika lenyewe. Nini tiba?
 
Sina ujuzi sana kwenye tiba za kizungu ila hizi mbadala ni vitu vyenye asili ya uchachu nadhani kama ndimu
Kwa tiba zetu zile za kimeditesheni tunawezaje kuyarejesha hayo madini ya Calcium?
 
Back
Top Bottom