Msaada wa Haraka Maana hali si shwari.

Perpendicular

JF-Expert Member
Jul 5, 2015
1,494
1,181
Bila kupoteza mda wala wakati wataalamu.

Wataalamu kusumbuliwa na muwasho mgogoni wakati ninapohisi joto yani mwili ukihisi joto hali kwangu ni mbaya sana yani nawashwa na vipele vidogo vidogo vinaibuka na vinawashwa kweli kweli.

Ila nikikaa sehemu ambazo hali ya ubaridi hata hivyo vipele vinapotea kabisa.

Sasa ni kama wiki nikajua ni joto tu ndio tatizo hila nao tatizo linazidi kwa kasi yani sahivi hata nikimaliza kula tu mwili joto la mwili likipanda tu kwangu ni shida.

Msaada wenu wakuu maana hali ni tete ushauri wenu maana na sikukuu hii hapa naona huduma za kiafya itakua hadi jumanne.

Wataalamu, wahuguzi ,doctors naomba msaada hali ni tete.
Nawasilisha kwa matumaini yeye mrejesho wenye mafanikio.
 
Kuwa mvumiliv mkuu subir hyo jumanne mapema uwai ukafanye blood test..itakupa majib sahihi
 
Uuguzi ni gani, lipia tukuhudumie kwa MPESA, Hamna cha bure... Haha haha

Mkuu pole, unaweza kuwa allergy possibly,........ Au mengineyo So j4 wahi vipimo mkuuu
 
Hospitali in sawa na kituo cha Polisi haina sikukuu wala mapumziko, labda kama unazungumzia zahanati.
 
Back
Top Bottom