kinyangesi
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 247
- 86
Tafadhali ndugu zangu anayejua lodge iliyo maeneo ya kiluvya. Anipe maelekezo ya haraka naomba msaada wenu. Chumba kuanzia elf 40 au hotel ya kuanzia 50

hebu ulizia bonag kama sija miss spell.kiluvya kwa kawawa.
Unataka ya kuanzia 50 hadi ngapi?
Kiluvya ipi? Gogoni, kwa Komba au madukani??