Habar,
Wakuu mama yangu aliibiwa simu sikukui ya idd maeneo ya Magomeni ikiwa na laini mbili ya tigo na zantel,tuliwapigia tigo tukawaambia waifungie laini wakakubali lakini hawakufanya hivyo kama walivyotuahidi. Sasa hii leo huyo jamaa amekua akitumia watu wa kwenye majina ya muke kwenye simu sms ya kitapeli kupitia laini ya tigo, sms ni hii " Habari Za Leo Samahani Kuna Afisa Miradi Na Utalii Yeye Ni Jamaa Yangu Yupo Serengeti Hifadhi Ya Wanyama Pori Yuko Na Watalii/wazungu Wanakuja Leo Wanahitaji Bidhaa Za Kitalii Kama Vinyago Vya Kuchongwa Kwa Miti Picha Za Michoro,vikoi,mashuka Ya Kimasai Pamoja Na Vitu Vingine Tenda Hiyo Niliwahi Kuisimamia Mimi Ila Kwa Leo Hali Yangu Kiafya Sio Nzuri Nasumbuliwa Kifua Pamoja Na Tonses Hata Sauti Imekauka Hivyo Nakuomba Usimamie Kwa Leo Kama Uko Tayari Nijulishe Nikuunganishe Ili Akupatie Mwongozo Jinsi Ya Kusimamia Wanalipa Posho Nzuri Nakutegemea Sana Naomba Usiniangushe"
Hapa nilipo natokea polisi lakini wameniambia kuwa niende kesho nikaonane na mpelelezi, na sisi hatua tuliyoichukua mpaka sasa ni kuwajulisha watu kua hiyo sms waipuuze.pia dada amejaribu kuchati naye anasema yeye yupo Bagamoyo .
Sasa nilikua naomba mawazo yenu wana jf jinsi ya kumkabili huyu tapeli na ikiwezekana tumkamate kabisa!