Msaada wa haraka kwa project officer (mambo ya mazingira)

njiro

Senior Member
Joined
Nov 7, 2010
Posts
149
Reaction score
114
Msaada wa haraka ninahitaji kutoka kwenu wana JF.

Nimepewa kazi ya kutengeneze plans+activities zake kuhusu environmental sensitization/protection/awarenes huku Moshi vijijini. Tatizo sijui pa kuanzia.

Nakaribisha maoni na Mchango kutoka kwa wadau wote.
 
msaada wa haraka ninahitaji kutoka kwenu wana jf.

Nimepewa kazi ya kutengeneze plans+activities zake kuhusu environmental sensitization/protection/awarenes huku moshi vijijini. Tatizo sijui pa kuanzia.

Nakaribisha maoni na mchango kutoka kwa wadau wote.

nakushauri kama kazi huiui na sio proffessiona. Yako jaribu kumualika mtu mhusika akupe ushauri muweze kuelewana, kama unakubaliana na ushauri wangu ni pm nikupe contact za watu wahusika wa mazingira by proffessional wakupe how to reach
 
unaijua action plan?? kaanzie huko kuchomoa activity.
 
Msaada wa haraka ninahitaji kutoka kwenu wana JF.

Nimepewa kazi ya kutengeneze plans+activities zake kuhusu environmental sensitization/protection/awarenes huku Moshi vijijini. Tatizo sijui pa kuanzia.

Nakaribisha maoni na Mchango kutoka kwa wadau wote.[/QUOTE

tutafute tukupe ushaur wa kitaalam kwa malipo lakini
 
Msaada wa haraka ninahitaji kutoka kwenu wana JF.

Nimepewa kazi ya kutengeneze plans+activities zake kuhusu environmental sensitization/protection/awarenes huku Moshi vijijini. Tatizo sijui pa kuanzia.

Nakaribisha maoni na Mchango kutoka kwa wadau wote.

Hongera, usiiachie hiyo nafasi kwakua hujui, we chakufanya wasiliana hata na walimu wako watakusaidia hicho unachokitaka,. halafu naomba uni PM nitakuelekeza mtu atakekusaidia...
 
Dah, ndiyo bongo hii... Yaani umepewa kazi ambayo hata hustahili na unategemea tukupe nondoz na wewe ufaidi mahela na kujirusha !!
No wonder meli ilipozama, kuna majitu kama weye walisema toboa eti maji yakiingia itakuja juu.... RIP ndg na jamaa, waTz wenzetu ktk MV BKB.

I think mwenzio, yule naibu wazili wa ilimu ya kikwere anaweza kukusaidia, TZ ni muungano wa Togo na Zambezi !!!
 
ni pm, ndani ya siku chache nakutumia doc kamili, kuna mwenzako kama wewe namfanyia kazi kama yako, ya masuala ya mazingira. ila nani wa kumwamini mwenzie maana mimi sipo moshi.
 
Msaada wa haraka ninahitaji kutoka kwenu wana JF.

Nimepewa kazi ya kutengeneze plans+activities zake kuhusu environmental sensitization/protection/awarenes huku Moshi vijijini. Tatizo sijui pa kuanzia.

Nakaribisha maoni na Mchango kutoka kwa wadau wote.

umesomea mambo ya mazingira? au sio profession yako? umesoma course gani? mie ni environmental planning and management officer mahali fulani tuwasiliane environment is too wide nipm nijue zaidi eneo unalohusika nalo.
 
Msaada wa haraka ninahitaji kutoka kwenu wana JF.

Nimepewa kazi ya kutengeneze plans+activities zake kuhusu environmental sensitization/protection/awarenes huku Moshi vijijini. Tatizo sijui pa kuanzia.

Nakaribisha maoni na Mchango kutoka kwa wadau wote.

ingia google.
 
We ----- kweli, proffession za watu zinalipiwa wewe unaomba ushauri wa bure kwenye taaluma, bongo bwana si u google tu tujue moja?
 
ni pm fasta nikufanyie maana hapa ndo kz ninayoifanya uniwahi fasta kabla cjaondoka dar kurudi mkoa
 
Back
Top Bottom