wakuu nisaidieni niliapply degree kupitia nacte as nina diploma ya medical lab saiz cuhas(bugando)wameshatoa majina n am not in so nisubr mpk kcmc na muhimbili watoe au nireset choices zangu ni chague upya coz deadline ni tar.16/10 plz kwa mwenye uelewa anisaidie hapo