Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,448
- 4,987
- Thread starter
-
- #41
kweli kaka ume ni alart kitu cha maana sanapole sana, kuwa makini inawezekana huyo mchumba wako ame sex na mtu mwingine na pengine anahisi amepata mimba sasa anataka ukisha sex nae , akuambie kua wewe ndiye mwenye hio mimba, mchumnguze vizuri.
ila huo sio mpango wa MUNGU sex before marriage!
thanks! watu wengi wamenishauri kuhusu hii habari ya mimba!nitakuwa makini nduguAna mimba anataka kaushikishe dogo... Unabisha?
Sasa akija hiyo kesho mwambie poa, but lazima mkapime afya maana hutakuwa tayari kusex bila ndom. Ukifika huko mwambie Dr apime na mimba kabisa... uona kama atakubali.
hapo ukigusa tu, mkimaliza ukanunue na limao, ukwaju na udongo wa Mpemba. Jumapili anza kuweka vikao vya ndoa, maana wiki ijayo utapata taarifa nzuri kuwa 'we are expecting'...
asante mkuu jail kwa ushauri wako!hata mimi ni taraja langu kuwa kama wewe maana NDOA ni takatifu,sasa tukianza matatizo haya mapema hata hiyo nyumba haitakuwa na barakakijana simama na huo msimamo wako wala usiogope lolote.sex before marriage is bad.mimi nimepita huko nimekuwa ktk uchumba kwa miaka 3 bila sex mpaka ndoa.kwa kweli nafurahia sana ndoa ni nzuri sana tuna amani furaha yani jitunze kijana inawezekana
.ukujiheshimu mungu atakuheshimu kumbuka yusufu alikimbia vishawishi kama hiyo ukisex tu umekwisha utakuwa umefungua mlango kwa shetani hatimaye utakuwa mtumwa wa ngono yani uaminifu utakuwa umeondoka na hofu ya mungu haiyakuwepo tena.kimbia usiruhusu binti aje kwako utanguka ndugu yangu usijifariji kwamba akija utamwelewesha na akuelewe.jibu kimbia usiruhusu aje kwako take care kijana
pole sana, kuwa makini inawezekana huyo mchumba wako ame sex na mtu mwingine na pengine anahisi amepata mimba sasa anataka ukisha sex nae , akuambie kua wewe ndiye mwenye hio mimba, mchumnguze vizuri.
Sasa wewe........hebu ngoja kwanza.......nitafakari hii hoja yako.......
am 27 years old!Hongera sana kaka; l real salute you kwa kujitunza.
Kwa faida ya wengine, how old are you and how do you do it?
sijakuelewa ndugu!Akija lala nae, halafu basi.
hebu kuwa makini ndugu,mimi nipo serious sana na jambo hili ndio maana hata kazi nimeahirisha leo nachukua mawazo ya member wezangu hapa JF! kama unalo la kuchangia naomba uliwekee wazi ,sio kupeana namba za simu.hapa tunataka kusaidia jamii sio mtu binafsi maana naamini kuna wengine wana changamoto kama mimi!Naomba namba yake niongee naye live na kumpa ushauri nasaa hatokusumbua tena nakuhakikishia..........:A S 39:
thank u for encouragement ! i stick in GOD principles!Wanaume kama nyie kumbe bado mpo Dunia hii??????kiukwel wanaume wamekuwaga wa kwanza kudai tendo hilo kabla ya ndoa.....am realy suprised kusikia msimamo wako...Heshimu msimamo wako Mkuu, if she loves you she will respect that and if not let her quit.
hebu kuwa makini ndugu,mimi nipo serious sana na jambo hili ndio maana hata kazi nimeahirisha leo nachukua mawazo ya member wezangu hapa JF! kama unalo la kuchangia naomba uliwekee wazi ,sio kupeana namba za simu.hapa tunataka kusaidia jamii sio mtu binafsi maana naamini kuna wengine wana changamoto kama mimi!