Msaada wa haraka kuokoa maisha unahitajika.

Msaada wa haraka kuokoa maisha unahitajika.

king kan

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Posts
1,642
Reaction score
2,079
Wakuu, nahitaji msaada wa haraka. Natumia windows 8 lakini sasa hivi nikiwasha pc ikifika desktop mode inaniambia "windows detected a hard disk problem" my pc is dell insipiron mini lakini disk inayoitwa TOSHIBA MK2565GSX na ni kwenye volume C & F. Msaada jamani pc ikifa maisha yatakuwa magumu sana. Ushauri unahitajika.
 
Nilifikiri huu uzi umeuandikia ICU, #kuokoa maisha
yaani mkuu nina impotant things kufanya this weekend ili nisubmit jumanne, and now nimestuck yaani nimeanza kupanic. Nipe mawazo nifanyeje.
 
HD imekufa probably, tafuta ultimate boot cd, boot nayo kisha chagua tool ya kuscan HD for damage. Kutokana na level ya uharibifu inaweza ikawa hairekebishiki, itabidi ununue hd mpya na kupoteza data.
 
nashukuru kwa msaada wako ila hd itakuwa inacost kiasi gani?
 
nashukuru kwa msaada wako ila hd itakuwa inacost kiasi gani?
iyo haijafa ni windows tu inasumbua cha kufanya toa hiyo hd yako na uiconect katika mashine yengine ikisha soma unaiformart halafu rejesha katika mashine yako fanya installation nyengine
 
HD ikishaanza kuwa na surface errors ni muhimu sana kuinadili, unaweza ukapoteza data wakati wowote. Kama windows bado inawaka basi backup data zako zote kwenye external au dvd.

Download program inaitwa HD Tune fanya full scan, itakuonyesha kama kuna errors, ipo free for 30 days.

Sijanunua hd siku nyingi ila nazionaga external 1TeraB kwa kama $100, hakikisha unsnunua hd type kama yako yaani in size na connection.
 
yaani mkuu nina impotant things kufanya this weekend ili nisubmit jumanne, and now nimestuck yaani nimeanza kupanic. Nipe mawazo nifanyeje.

Ni PM nikuazime Laptop ukimaliza uirudishe kama unaishi NEW YORK CITY
 
HD ikishaanza kuwa na surface errors ni muhimu sana kuinadili, unaweza ukapoteza data wakati wowote. Kama windows bado inawaka basi backup data zako zote kwenye external au dvd.Download program inaitwa HD Tune fanya full scan, itakuonyesha kama kuna errors, ipo free for 30 days.Sijanunua hd siku nyingi ila nazionaga external 1TeraB kwa kama $100, hakikisha unsnunua hd type kama yako yaani in size na connection.
nashukuru sana kwa msaada wako nipo katika utekelezaji
 
Back
Top Bottom