Vipi swala la watoto?washachokana hao.ndo maana wazungu wenzetu ndoa zao za mikataba.waache walivyoamua hivyo hivyo.waachane tu hakuna namna
kama wamefikisha wote miaka saba.baba ndio anatakiwa awachukue .aondoke na wanae kisheria pia ndie anayeruhusiwa kama hawajafikisha basi watabaki na mama yao mpaka watakapotimiza na gharama za Watoto baba atatikiwa kuwagharamiaVipi swala la watoto?
Mme anasema atachukua watoto watalelewa na bibi yao huku mke anasema watoto watalelewa na yeye na hakuna mtu ataingia kwenye hiyo nyumba kulea watoto au kuishi.
Una mtazamo gani hapa ndugu
Una msaada mzuri sana Wa mawazo kwenye hili; mtoto wao kwanza ana miaka 11 na yupo darasa la tano na wa pili ana miaka minne yupo kindergartenkama wamefikisha wote miaka saba.baba ndio anatakiwa awachukue .aondoke na wanae kisheria pia ndie anayeruhusiwa kama hawajafikisha basi watabaki na mama yao mpaka watakapotimiza na gharama za Watoto baba atatikiwa kuwagharamia
Msaada wa kiukweli - kweli hapo utatoka ndani ya hiyo nyumba mkuu. Huyo mwanaume ni kama kashashikwa na mwanamke wa nje anamuona mkewe hafai tena na sasa anaona zaidi negatives kuliko mazuri ya mkewe na pia huyo mama nae pengine sababu ya mazonge ya jamaa nae kapata pumziko nje basi tabu tupu!
Ulijaribu kumuuliza jamaa kama ni kweli hajampa mama kibamia kwa miezi 9? Kama ni kweli anategemea mama aendelee kuwa royal tu? Pamoja na kunyimwa haki yake na pia kusikia jamaa ana mwanamke nje na hadi kazaa nae?
Sasa mwambie jamaa yako kama yeye ni mwanaume wa kweli asiuze nyumba. Mwambie abebe begi amwachie mama na watoto nyumba, hivyo ndio wanaume wa kweli hufanyaga maana huwezi jua anaweza kuja kuugulia na kuzikiwa hapo uzeeni. By the way si ameshamjengea kimada nje, abebe begi akaishi kwenye nyumba yake mpya
Huyo mama abaki na nyumba...alee watoto hapo...ipo siku nyumba ndogo itamfukuza..atarudi kwa mke wa ujana wake