engine search
Senior Member
- Jan 4, 2020
- 174
- 89
engine search,
Mvumilie ila ukweli anakupenda. Kama tamaa yako ni ngono basi atakupa ila hamtodumu Kila moja atalaumu mwezake kwa madogo. ila ukivumilia utakula tunda kimasihara na utadumu nae....Vuta subra atajileta bila shinikizo
Kaka kwan huwez kuwa na girlfrienf mwengne huyu akabakia rafiki ako wa kupigiana video calls tu,?
Mbona mambo mengne mepesi sana kuyajadili.
Relationship Tip.
Kuna wanawake 4.6 Billions duniani..usisumbuliwe na mwanamke mmoja asiyejua thamani yako
Kivip nifafanulie kidogoHuyo ni mpenzi wako...sema wee ni mtoto .
Mhhhh ebu dondosha hapa angalau tatu uwenda ni tafiti mpyaa hiziii maana tunaelekea Tanzania ya viwandaunataka mbinu za kumla kimasihara?
Wanaume ma-fa-la wanazidi kuongozeka
Tunaomba namba basi tumuonye
Sent using Jamii Forums mobile app