Msaada wa haraka juu ya huduma za western union

ANT DRUGS

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
5,582
Reaction score
7,058
Naomba kufahamishwa jinsi ambavyo ninaweza kutumiwa pesa na mtu aliyeko AMERICA kupitia Western Union maana ameomba nimpe njia kupitia Email
 
Ki urahisi ni huyo mtu wa nje aende kwenye ofisi za western union huko huko watampa maelekezo. Mtumie tu post address yako na number ya simu.
 
LAbda mkuu akrb akusaidie, alikua anaongelea ishu za WU kwenye thread yake ya Manunuzi mtandaoni
 
Last edited by a moderator:
Ni rahisi sana; mtumie majina yako kama yalivyo kwa kitambulisho chako basi. Huhitaji kumpa address wala kingine chochote
 
halafu inakuaje kama humpi address,una maana utachukua westunion popote?
 
Ni rahisi sana; mtumie majina yako kama yalivyo kwa kitambulisho chako basi. Huhitaji kumpa address wala kingine chochote

Nashukuru sana mkuu
 
Ni rahisi sana; mtumie majina yako kama yalivyo kwa kitambulisho chako basi. Huhitaji kumpa address wala kingine chochote

Unaweza kutumia kitambulisho chochote mf bima,chuo?
 
Sina hakika kama cha bima kinakubalika ila leseni ya gari au kitambulisho cha kura ingekua vyema zaidi
 
Back
Top Bottom